madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

    Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
  2. BARD AI

    Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
  3. M

    Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

    Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi, hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
  4. chiembe

    Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  5. chiembe

    Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  6. Engager

    Wanawake walio ungua mkorogo (cream) uwa hawalipi madeni.

    Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
  7. BARD AI

    IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

    Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
  8. Replica

    IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

    Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita. Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi. ======= IMF relieves EA’s indebted...
  9. N

    Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  10. GENTAMYCINE

    Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

    Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka...
  11. L

    Ripoti ya IMF yafichua madai ya “mtego wa madeni" yaliyotengenezwa na Marekani

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
  12. MamaSamia2025

    Soma hapa ujue jinsi ya kujinasua kwenye mtego wa madeni ulionasa

    Wakuu kwa sasa hali ilivyo ni kuwa watu wengi sana wamenasa kwenye mtego mbaya wa madeni na kujinasua imekuwa mtihani. Iwe mtu alikopa kwa sababu yoyote ile ni kwamba muda wa kudaiwa hakuna anayeonewa huruma. Aliyeomba mkopo wa biashara ikabuma anapata taabu sawa na aliyekopa mkopo akauhonga...
  13. Gentlemen_

    KERO: DAWASA Acheni kutuma SMS za madeni kwa wingi

    Kwanza Maji yenyewe mnayatoa kwa mgao (Hamjatangaza tu), huku Tabata hasa Kinyerezi maji mnabangaiza kuyatoa. Mkijiskia ndio mnayaachia hamfati ratiba inayoeleweka. Nirudi sasa kwenye KERO. Mnatuma sana SMS zenu kila muda mnatuma hayo madude yenu. Kuweni na weledi basi na mkiwa mnafanya...
  14. KING MIDAS

    Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  15. BARD AI

    Ripoti: Tanzania inatumia 10.1% ya Fedha za Mikopo kulipia Mikopo ya Nje

    Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje. Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
  16. L

    Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  17. Kyamiki

    DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  18. Suley2019

    Mdhibiti wa hesabu za Serikali: Serikali inatumia Bilioni 3.16 za Kenya kulipa madeni kila siku

    "Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni. Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Ili uishi kwa amani ni vyema uwasaidie watu kulingana na kipato chako. Kukopesha fedha tuwaachie bank na microfinance

    Mtu amepewa kadi za hharusi na send-off 5, na zote inabidi achangie kulipa fadhila. VICOBA vitatu vyote anadaiwa, upatu unamtesa, tv ya mkopo, mpaka nguo za mkopo. Akipata pesa anapunguza huku, anakopa kule anakula anaanza tena kukopa. Utasikia nikopeshe laki tarehe 10 nakulipa unamwambia subiri...
Back
Top Bottom