Del Morad (Persian: دلمراد(مادني), also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi.
Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda daraja,likizo ,uhamisho nk lakini mchakato wa kulipwa imekua danganya toto.
Serikali kuu imekua na...
Kwanini Bongo ukimkopesha mtu siku ya kumdai inabidi utafute sababu na matumizi na maelekezo ya kwanini unaitaka pesa yako
Je hii ni halali kweli yani pesa ni yangu na bado nilazimike kutunga uongo
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo.
"Nampongeza Mheshimiwa Rais...
Nahitaji mwanasheria/wakili Mbobezi Ambae atanisaidia kuendesha mashtaka yangu mahakamani.
Kesi ni Ya WIZI ila wizi ambao ndugu wanataka ugeuza uwe madai tumalize nnje ya mahakama ila hawafiki dau ninalotaka la pesa zilizoibwa.
Nadhani acha iende mahakamani ili tu iwe itakavyokua.
Muda wangu...
Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu.
---
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa...
Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3.
Aidha, Nchi...
Kuna wakati unakosa hela kabsa na hauna namna ya kufanya ila kukopa hela kutoka kwa wadau mbali mbali ndio linaweza kuwa suluhisho kwa wakati.
Sasa imezuka tabia ya baadhi ya raia wa nchi hii pendwa kuomba mikopo kwa wadau mbalimbali halafu baada ya hapo anaingia mitini bila kurudisha hela ya...
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
Labda wameona wakopeshaji mtandaoni wamefanikiwa kwenye 'mkakati' wao wa kudai madeni. Binadamu huwa hatupendi kudhalilishwa hivyo na benki ya I & M wameamua kutumia mkakati huo huo kwa kuwatangaza wote wenye madeni sugu.
Hivi sheria inaruhusu kuanika taarifa za mtu binafsi kwa umma ama hawa...
Salaam, Shalom.
Kuna Msanii mmoja Jina silijui, ameimba wimbo usemao,
" Sisi ndio wale waliobarikiwaaa na na Mungu." Nakubaliana naye 100%.
( Kumbukumbu 15:6)
"Kwani BWANA, Mungu wako atakubarikia, kama alivyokuahidi,nawe UTAKOPESHA, mataifa mengi, lakini hutakopa, tena utayatawala mataifa...
Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni.
Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno.
Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya vitu vyenye tija katika maisha yako kama kuendesha biashara yenye kukuingizia faida.
Muda wote huna...
Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani).
Hiyo amani ndio uzima wenyewe.
Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua.
Madeni ni maumivu makali.
Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho.
Mungu...
Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo.
Ulipaji Bili zetu utakuwaje?
Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje?
Una madeni yoyote na yanalipwaje?
Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
Kampuni ya Export Development Canada (EDC) imefungua kesi Mahakama Kuu ya Uingereza, ikilishtaki Shirika la Ndege la Precision kudai Dola26 milioni za Marekani (Sh65 bilioni) zilizotokana na makubaliano kwenye mauziano na ukopeshaji wa ndege.
Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa hiyo, mwishoni mwa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema hadi kufikia Desemba mwaka jana, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ulikuwa unadaiwa jumla ya Sh6.37 trilioni na watu mbalimbali za fidia na malipo ya makandarasi na wahandisi washauri wa ndani na nje ya nchi.
Kwa mujibu wa kamati hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.