CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,

Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji

Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa

TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya ubingwa kama ilivyotolewa na mdhamini na kama wana madai yao watume invoice Yanga kukumbushia madeni ila sio kukata juu Kwa juu

Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa Yanga.

Screenshot_20250611-120322.png

​
 
Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa YangaView attachment 3364291
TFF wahuni hizo pesa wameshapiga, wanachofanya ni kujaribu kufukia mashimo kihuni, wanajaribu kupunguza mpaka kiasi cha zawadi! Mpira unaongozwa na watu wa hovyo sana yan
 
TFF ata vilabu visivyo twaa ubingwa vina butuliwa kupitia fedha za udhamini.
Naamini hakuna timu ambayo haija katwa yaani lazima utafutiwe sababu ya pesa yako kutafunwa.
Isingekua uoga timu nyingi zinge funguka.
Uu uongozi uking'olewa utasikia vilabu vikianza kufunguka ni swala la muda tu.
 
Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine akizungumza baada ya kutoka kwenye kikao walichoitwa na shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kujadili Pesa za Ubingwa wa Kombe la Shirikisho.

"Duniani kote bingwa anapaswa kupewa zawadi zake sio kukatwa kwa ajili ya kulipa madeni au mambo mengine."

Tuliwaandikia TFF kwa maandishi na kuwapa msimamo wetu.

"Halafu wanataka twende Zanzibar tukacheze mchezo wa fainali, tulipie usafiri, bonus Tunamudu vipi hizo gharama?"
 
TFF wahuni hizo pesa wameshapiga, wanachofanya ni kujaribu kufukia mashimo kihuni, wanajaribu kupunguza mpaka kiasi cha zawadi! Mpira unaongozwa na watu wa hovyo sana yan
CRD waweke wazi mshindi anapata kiasi gani na kilipwe moja kwa moja kwa Account ya mshindi

Kingine hivyo vilabu vya mpira vinashiriki kivipi bila kujua zawadi itakuwa ni kiasi gani

Cha ajabu huko kwenye mashindano ya ndondo cup washikiriki hufahamu thamani ya mashindano Yao iweje huko CRD Confederation Cup, kiwango cha zawadi inabaki kuwa ni siri ya TFF na Mdhamini

It is high time we need collective responsibilities, thereby, no one is going to fool around
 
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,

Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji

Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa

TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya ubingwa kama ilivyotolewa na mdhamini na kama wana madai yao watume invoice Yanga kukumbushia madeni ila sio kukata juu Kwa juu

Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa Yanga.

View attachment 3364347
Ila tuache uongo, waandishi wa habari wa bongo ni vilaza sana kuongea lugha ya kiingereza.

Hapo ingekua ni kwa kiswahili, maswali yangeulizwa vizuri na Andre angekuwa anaona hili swali jipya.

Matokeo yake kila swali akiulizwa anasema 'nimeshakueleza' ina maana anarudia kitu kilekile na Mwandishi bado haelewi.

Naona hadi Dereva wa Andre inabidi awafafanulie.

Lugha ya kiingereza ni muhimu kwenye career kulingana na muktadha tofauti tofauti.
 
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,

Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji

Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa

TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya ubingwa kama ilivyotolewa na mdhamini na kama wana madai yao watume invoice Yanga kukumbushia madeni ila sio kukata juu Kwa juu

Vipi kama Yanga asingepata huo ubingwa wa CRDB confederation cup, TFF wasingepata pesa ya vibali vya wachezaji wa kigeni wa Yanga.

View attachment 3364347

C.E.O "Kama kuna hoja nyingine yeyote, wanatakiwa waiweke kwenye maandishi, watupatie taarifa rasmi, hatutafanya kikao kingine kwasasa, watupatie tu pesa zetu za ubingwa, ni hivyo tu!

Mwandishi

"Lakini taarifa kutoka tff tuliyoiona, wamesema, nyie mna deni kwao!

C.E.O "Ngoja nikuulize swali hapo,

Mwandishi "sawa

C.E.O " aaaah, unapotwaa kombe, shirikisho likakuambia sasa ona, hatutawapa pesa zenu,
Lakini mwaka mmoja baadae, wacha tuangalie mtafanya nini kwenye huu msimu, kisha tufanye makato ya madeni kwa salio lenu, uliona wapi duniani? Wapi?? Kama unaweza kunitajia nchi moja tu ambayo hilo lilitokea, nitakujibu.
Sisi young africans kadri tunavyoendelea kuwa washindani, na kuchukua kombe, kwa lengo la kulinda heshima ya mashindano, na heshima ya kila anayehusika kwenye kwenye uendeshaji wa mpira wa miguu, ni lazima mshindi apewe pesa zake za zawadi, ni lazima mshindi wa pili pia apewe chake, hili ni jambo la haki!
Asanteni, muwe na siku njema.

Mwandishi: C.E.O swali la mwisho tafadhali,
Tumeona mumekuwa mkichukua muda mrefu sana kuzungumzia kila kitu, lakini hli limechukua muda mchache sana?

C.E.O: ni nje tamaduni, ndo tulikofikia, lakini kama nilivyowaambia, tulishawaandikia kuhusu hilo, siku mbili zilizopita, na tumetoa msimamo wetu kwao!

Mwandishi: mliwakutana na viongozi wa Tff pale?

C.E.O : tumekutana na wasimamizi wao fedha, na wao ndio waliotutaka(TFF) tukutane nao!

mwandishi: na mkajadili jambo fulani?

C.E.O : si nii kile nilichokuambia mheshimiwa? nimeshawalezea!

Mwandishi: kwahiyo, kwahiyo.....

C.E.O : ahsanteni, mh?

Mwandishi, kwahiyo kufikia hapa, upi msimamo wa Young africans?

C.E.O : lakini nimeshawaambia, sisi tunachokihitaji ni pesa zetu, tumeshinda vikombe, pesa zetu za zawadi ziko wapi??
Ebu niwaulize swali, nyie ni waandishi!
Kwa maoni yenu! Ipi ni pesa ya zawadi kwa team inayoshinda ubingwa??

Waandishi: milioni hamsini!

C.E.O: wapi mmeitoa hiyo??

WAandishi : kimyaaaaaaaaaaaaaaaa

C.E.O : lini mlipokea taarifa rasmi?

Akaingilia dereva baada kuona waandishi unga unapika sufuria...
Baada ya muda kdgo mbungi ikaendelea

C.E.O : nawauliza nyie, wapii mlipata taarifa rasmi??

Mwandishi: hapana, hatujapokea taarifa rasmi kokote!

C.E.O : sasa je hivyo ndivyo namna ya kuendesha mpira?

Waandishi:kimyaaaaaaaaaaaaa

C.E.O : na mnatutaka sisi tuende tena tarehe 28 juni?
Kuna gharama za kusafiri kwenda zanzibar,tulipe bonasi Mungu akipenda kama tutatwa ubingwa, tunalipa shughuli za klabu? Tunaendeshaje mpira?

Mwandishi : lakini C.E.O , umewahi japo kuomba.....

C.E.O : lakini nini? Lakini nini, wakati nimekupa uhalisia? Ahsante nadhani nimezungumza vya kutosha!

MWandishi: kwaiyo, hatua gani mmechukua baada ya hili?

C.E.O: nimeshazungumza vya kutosha!

Mwandishi : mmh?

C.E.O : kila kitu nimeshakisema, ni hatua gani! Mumeona taarifa yetu! Ahsanteni sana..

Mgwani anawasha chuma anateleza huyoooooo
 
Ni huzuni kwa kweli. Hersi kaikimbia timu kamuachia huyo Mzambia na AliKamwe waipiganie timu. Hajui zawadi ya bingwa ni kiasi gani ila wenyewe wamejiamulia wadai milioni 200.
 
Labda na yeye kapata kamgao
 
Hawa waandishi wanaliabisha taifa, hata mwanangu wa darasa la 4 hawezi kuhoji kijinga namna hii🚮
 
Halafu sasa juzi kuna yule DC Bomboko alikua anakwama kuongea kiingereza straight, watu wanampongeza.

Kwa dunia ya saivi, kiingereza kuki-master ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom