CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

OGOPA SANA KIKUNDI CHA WAJINGA WAKIUNGANA (YANGA) SASA SI WALIPE SIGNING FEE WANAZO DAIWA THEN WADAI PESA YA UBINGWA NA DEMAND ZAOO ZINGINEZOOO

SOKA LA BONGO UBABAISHAJI NA INATUMIKA KAMA TOOL MOJA YA KUWA BRAINWASHING WA TZ
 
TFF ata vilabu visivyo twaa ubingwa vina butuliwa kupitia fedha za udhamini.
Naamini hakuna timu ambayo haija katwa yaani lazima utafutiwe sababu ya pesa yako kutafunwa.
Isingekua uoga timu nyingi zinge funguka.
Uu uongozi uking'olewa utasikia vilabu vikianza kufunguka ni swala la muda tu.
Club zingine zinachekea chini huku wakishuru yanga kulianzisha wamesha pigwa sana na TFF.
 
Hawa waandishi wanaliabisha taifa, hata mwanangu wa darasa la 4 hawezi kuhoji kijinga namna hii🚮
🤣🤣🤣 tatizo ni lugha wakuu swali moja limeulizwa na waandishi wawili tofaut mara 3 tena mmoja akilirudia mara 2 mpaka C.E.O akagoma
 
Hizo barua za Yanga kwenda TFF zikitaka wakatwe pesa juu kwa juu ni za kughushi?
 
Ni huzuni kwa kweli. Hersi kaikimbia timu kamuachia huyo Mzambia na AliKamwe waipiganie timu. Hajui zawadi ya bingwa ni kiasi gani ila wenyewe wamejiamulia wadai milioni 200.
Chawa wa Kidau na Karia unahangaika sana.
 
Wazambia na Wakenya wana miguu ya njaa sana nimeongea kwa Lugha ya wacheza draft hapa kwa maana ni vichwa..
 
Back
Top Bottom