akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela au vitu mbalimbali.
Kwa hali jinsi ilivyo kuhusu hawa watu, ni heri umkopeshe mwanaume mwenzio kuliko mwanamke, ni hatari sana hawa viumbe, usithubutu kumkopesha mwanamke bidhaa yeyota au hela ukitegemea atakulipa, hakulipi ng'oo
Nimemaliza.