Kwa nini wanawake wa sikuizi hawaogopi madeni!?

Kwa nini wanawake wa sikuizi hawaogopi madeni!?

Mwanamke anaogopa vipi deni wakati anajua lazima utaomba cha kufidia 😹😹

We shukuru bhana kuliko kumkopesha mwanaume mwenzio halafu anakukimbia, mwanamke atakupa hata shavu ushike ufidie deni…!! 🤣
Mbna wanaume nao wana mashavu, 😂😂😂😂
 
Mbna wanaume nao wana mashavu, 😂😂😂😂
Weeeh 😹😹😹
Usidambie udugu wagu, udasemaje? Jana ulilala na mzugu akakupa dollar 10? Thatha si ugemuibia waleti yake, haiwedekani akudine mistaidi yode akuchoshe afu akube dollar 10!! 🤣
 
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela au vitu mbalimbali.

Kwa hali jinsi ilivyo kuhusu hawa watu, ni heri umkopeshe mwanaume mwenzio kuliko mwanamke, ni hatari sana hawa viumbe, usithubutu kumkopesha mwanamke bidhaa yeyota au hela ukitegemea atakulipa, hakulipi ng'oo

Nimemaliza.
Kwa sababu wana maku na ikihitajika wanaiuza
 
Mleta mada ulipita shule kweli?
Hakina dada na hakina mama ndo vitu gani

Aisee wewe hata ukidhulumiwa ni halali
 
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela au vitu mbalimbali.

Kwa hali jinsi ilivyo kuhusu hawa watu, ni heri umkopeshe mwanaume mwenzio kuliko mwanamke, ni hatari sana hawa viumbe, usithubutu kumkopesha mwanamke bidhaa yeyota au hela ukitegemea atakulipa, hakulipi ng'oo

Nimemaliza.
mleta mada acha kushupaza shingo rudi shule
 
Udasema umepata bibi wa kizugu anadaka kukupedeka kwao? 😹😹
Usikubadi utaeda kubewa kazi ya kudomba ubwa shaudi yako na mbijwa wako kaba treni la kadogosa..!!
Awee sitoki nje ya tz
 
Back
Top Bottom