akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
- Thread starter
- #41
We ujui kama bado tuko likizo?mleta mada acha kushupaza shingo rudi shule
We ujui kama bado tuko likizo?mleta mada acha kushupaza shingo rudi shule
Nikopeshe laki hapo chaaap, jioni tu utaipa.....
Nimekumbuka deni la taifa lilivyopaa anganiNimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela au vitu mbalimbali.
Kwa hali jinsi ilivyo kuhusu hawa watu, ni heri umkopeshe mwanaume mwenzio kuliko mwanamke, ni hatari sana hawa viumbe, usithubutu kumkopesha mwanamke bidhaa yeyota au hela ukitegemea atakulipa, hakulipi ng'oo
Nimemaliza.
Mkopaji nani?Nimekumbuka deni la taifa lilivyopaa angani
Ila wadada kiboko, hasa hv vikundi vyao vya kirejesha kila j4 ,j5 na alhamisi, unawalinda mpk unachokaSiku hizi hali ngumu jinsia zote wagumu kulipa madeni
Hahahahaha,ila kitumbua kitatembezwaMiba hatubebi piduu zimedaa famadi 😹😹
🥺🥺🥺🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿Mkopaji nani?
Mmh!Nimekumbuka deni la taifa lilivyopaa angani
Hakuna. 😂😂😂Sasa nani hana mashavu
😂😂😂😂 nimechekaaa.Weeeh 😹😹😹
Usidambie udugu wagu, udasemaje? Jana ulilala na mzugu akakupa dollar 10? Thatha si ugemuibia waleti yake, haiwedekani akudine mistaidi yode akuchoshe afu akube dollar 10!! 🤣
😹😹😹😂😂😂😂 nimechekaaa.
Mie sio mwizi uduguu, naogopa ntakosa fursa siku ingine, c unajua nataka kuzamia mambele?
Hakuna. 😂😂😂