madereva wa lori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wanausalama wa Barabarani Mkata hizi tuhuma za rushwa mnazisawazishaje? Mnaonea sana madereva wa Lori

    Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari. Katika hicho kituo...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi nafasi 500 za waendesha pikip8ki zisije zikawa kama zile za madereva wa lori

    Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa. Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme za kiarabu watarudishwa. adriz de mbusii
  3. JamiiForums Tanzania Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

    Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama baada ya kukataa kumnyanyase kingono. Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…