Hizi nafasi 500 za waendesha pikip8ki zisije zikawa kama zile za madereva wa lori

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa.

Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme za kiarabu watarudishwa.

adriz de mbusii
 
Huko hawapelekwi wale professional hao hao wanaojiita mawaziri wanaokota ndugu zao watoto wa wajomba mashemej etc ambao ni unprofessional wanawarushia kete.

Hiyo ligi humkuti driver wa bodaboda anayepishana na magari kila siku.
 
Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa.

Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme za kiarabu watarudishwa.

adriz de mbusii
Boda boda za postal and general delivery.....khaaa ccm bana wanashangilias utumwa huu wameshindwa kujenga viwanda watu wapate ajira....create ajira za ndanii.....
 
Wabongo kwa kupigwa duh, hatukomi yani left n right deile kuna drama mpya kwa hisani ya sisiemu😛 😛 😛

Sasa waarabu wanataka wandesha boda wakawafanyie nini? Wawaoe?
 
Kusema kweli mimi hii nafasi nimerusha wavu, na nina vigezo vyote kama wanavyotaka kama vile, koba, leseni na uzoefu wa miaka 10+ katika kazi hii ya hatari ya kukwepa kifo road.. Nikipata naingia hapo uarabuni kuishi na hizo dinali… Lakini arabuni sio ndio kituo hapana 😁.. Mnaobeza hizi fursa haya! Oya anaeweza kutereza na hii chance aishi nayo! tu…

Kila lililo la kheri katika mwaka mpya ujao!
 
Kwa hiyo ule msaada walienda kuomba UAE wamepata ajira 500 tu, pesa hakuna sio
 
Boda boda za postal and general delivery.....khaaa ccm bana wanashangilias utumwa huu wameshindwa kujenga viwanda watu wapate ajira....create ajira za ndanii.....
Magufuri asinge ruhusu manpower kupelekwa kuwa BODA BODA ARABUNI 😁😂

Jana nili andika tungeanza na AGRICULTURE REVOLUTION tukatengeneza project kubwa kubwa za kilimo vijana wawezeshwe KUWEPO usimamizi mzurii sana sanaa pia masoko ya ndani na njee
 
Mkuu ni kweli Serikali inapeleka Boda boda Uarabuni uku Migodi yetu wakipewa Wachina, Mbuga zetu na Bandar wakipewa Wachina, Vijana tukatae kwenda kufanyishwa Boda bida Uarabuni wakati nchini kwetu Mali zetu wanapewa Wachina na Waarabu.
 
Ni fedheha sana sanaa kwenda kuwa BODA BODA uarabuni nchi yetu ni ya maziwa na asali kwenda kuwa BODA BODA uarabuni haijakaa sawa.

Labda kama tunataka kujamiiana na warabu tupate chotara za kiarabu ie. Warabu ni wabaguzii sana sana wanatabia za UBAGUZI hasa kwa watu weusii
 
Back
Top Bottom