tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama baada ya kukataa kumnyanyase kingono.
Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na fisi aliyemshambulia na kumshambulia uso upande wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa jicho.
Soma pia: Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori
Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na fisi aliyemshambulia na kumshambulia uso upande wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa jicho.
Soma pia: Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori