Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Hausegelo,Sasa wakishapata ukimwi badae nani atalea hao watoto?Watoto atalea nani nyumbani?
Hausegelo,Sasa wakishapata ukimwi badae nani atalea hao watoto?Watoto atalea nani nyumbani?
Itakuwa wanatumia ndomHausegelo,Sasa wakishapata ukimwi badae nani atalea hao watoto?
wewe ndio huwajui sisi miaka yote tunafanya nao kazi usisikie story za kijiweniHivi madereva wa malory unawajua kweli wewe au kwakuwa tupo jf ni kuandika chochote?
Nimeiona hii interview jana BBC swahili. Kwakweli nililia 😟Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama baada ya kukataa kumnyanyase kingono.
Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na fisi aliyemshambulia na kumshambulia uso upande wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa jicho.
Soma pia: Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori
View attachment 3447241
View attachment 3447254
View attachment 3447255
mimi nikuambie tuu humu jf kuna madereva kibao na wana uzi wao pia kama uelewi na ni watu wenye uwezo sana kibamba yote maili moja kwa matias na vitongoji vingi vya mkoa wa pwani nyumba unazoziona ni za Drivers na wako vizuri wewe ukasome.wewe ndio huwajui sisi miaka yote tunafanya nao kazi usisikie story za kijiweni
Badala ya kuelezea uhatari wao umeishia kusikitika tu. Why ?wewe huna uzoefu na haya kwa hakika hao wadada ni hatari na madereva kwa kweli wapewe maua yao ungalijua jinsi hawa wanayoyafanya usingeandika huu ujinga kabisa tafuta upate ukweli hao noi hatari na kuna majambazi kabisa hao wadada na njia zotye sasa wapo kwa kazi hizo jiulize kama ni msafiri wa kawaida kwa nini apande rorry wewe ujui ndio maana yanakutoka hayajakukuta iko siku utajua.
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwahiyo tumcheki FISI nae aseme upande wake?
Wanao watetea hao malaya hayajawahi kuwakuta, Mwanamke kama Mwanamke nikiona anapanda roli siwafichi huyo hata kuuwa haoni hatari hasa hawa wanaojiuza...wewe huna uzoefu na haya kwa hakika hao wadada ni hatari na madereva kwa kweli wapewe maua yao ungalijua jinsi hawa wanayoyafanya usingeandika huu ujinga kabisa tafuta upate ukweli hao noi hatari na kuna majambazi kabisa hao wadada na njia zotye sasa wapo kwa kazi hizo jiulize kama ni msafiri wa kawaida kwa nini apande rorry wewe ujui ndio maana yanakutoka hayajakukuta iko siku utajua.