Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

wewe huna uzoefu na haya kwa hakika hao wadada ni hatari na madereva kwa kweli wapewe maua yao ungalijua jinsi hawa wanayoyafanya usingeandika huu ujinga kabisa tafuta upate ukweli hao noi hatari na kuna majambazi kabisa hao wadada na njia zotye sasa wapo kwa kazi hizo jiulize kama ni msafiri wa kawaida kwa nini apande rorry wewe ujui ndio maana yanakutoka hayajakukuta iko siku utajua.
Rorry❌❌
 
Labda alionyesha ujeuri, kuna mazingira unatakiwa usome saikoloji kwa wanaokuzunguka na kuwajibu majibu wanayotaka; mfano, kama alilazimishwa, angesema yeye ameathirika na hayuko tayari na wao wapotee n.k​
Angewaambia waende guesthouse siyo njiani maporini hawatafurahia. Kumbe anawapoteza maboya. Wakifika mahali salama anakimbia au anaomba msaada.
 
Kuna wanawake huwa wanakaa barabarani wanasubiri malori ili wajiuze wanasafiri hadi mpakani wanadandia gari nyingine kurudi kazi zao kubadilisha cabin tu
 
Kila nikikaa na marafiki zangu ambao ni madereva wa hizi transit basi wanasimulia ngono tu ,kitu sipendi sana .

Yaani kununua kwao ni kawaida na umalaya.
Pole Sana Mkuu, waambie wasikusimulie tena na pia wakataze kufanya ngono
 
Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga ya wanyama baada ya kukataa kumnyanyase kingono.

Hapa ndipo Irene Mbithe alipokutana ana kwa ana na fisi aliyemshambulia na kumshambulia uso upande wa kushoto na kumsababishia ulemavu wa jicho.

Soma pia: Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

View attachment 3447241
View attachment 3447254
View attachment 3447255
Mkuu hifadhi za wanyama Tanzania mbona zipo nyingi,ni ipi hiyo unayoongelea?
 
Kumbe alikua anajiuza
Aaahh kama sio kujiuza na kujisogeza some sogeza hao madereva wangempata wapi? Na wengine wanakuwa wanajiuza ila ndani ya yao kuna uporaji acha akome
 
Back
Top Bottom