madereva

  1. F

    LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  2. JanguKamaJangu

    Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa vyeti vya kuthibitishwa kwa madereva 999 waliosajiliwa na kuthibitishwa

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
  4. Ghost MVP

    Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  5. Ricky Blair

    Madereva wa Uber, abiria tukipata ofa msitununie na kutulalamikia

    Jamani madereva wa Uber tunajua maisha magumu kwa wote which means tukipata offer zetu msitununie sisi au kutulalamikia njia nzima as if cc ndo tumeweka bei. Kwani cc tukiambiwa 15k hata sehem ndogo bado tunatoa Km kawa hatulalamiki Wala hatuombi mtupunguzie. Km hao Uber wanawabana hamieni...
  6. Black Opal

    Waiba mafuta kwenye malori na madereva lao moja

    Wakuu, Aisee muda wote nilipokuwa naona hawa watu wanaiba mafuta nilijua ni ile ya kiwiziwizi tu kumbe ni mchongo kati ua dereva na hawa vibaka. Bosi unapigwa kila siku huku watu wanajifanyia yao. Katika harakati za maisha mjini barabara ya Mandela hii kwenye foleni nikaona huyo mwamba...
  7. Kommando muuza madafu

    Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Na declare interest mimi ni mdau wa usafirishaji Tanzania. Lengo la kuanzisha huu uzi sio kuharibu biashara au maisha/ajira za watu ila ni kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kila siku kama panzi kwa uzembe na ujinga wa hawa madereva. Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Mbeya na huwa nafanya kazi za...
  8. R

    Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
  9. Chief Wingia

    Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  10. wa stendi

    Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

    Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?
  11. E

    Mpya! Wanahitajika madereva kwa haraka

    Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote Sifa: 1. Uwe na leseni hai 2. Uwepo Dar es salaam 3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea 4. Uwezo wa kufanya kazi usiku Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu...
  12. Ghost MVP

    Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
  13. D

    Matajiri wa malori msinyanyase madereva wenu

    Kuna matajiri wa malori wanapenda kuonea madereva wao hasa wanapowapa malori kupeleka mizigo nje ya nchi, kwanza malori yanabebeshwa mzigo mzito kuliko uwezo wake. Dereva anapewa hela ya kuhonga mizani, na dereva akiishiwa diseli anashurutishwa anunue mwenyewe, na lori likiwa na overload...
  14. Roving Journalist

    Mbeya: Madereva watakiwa kubadilika ili kuepuka ajali za barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...
  15. Roving Journalist

    Mbeya: Polisi waandaa mafunzo maalum kwa madereva wenye leseni lakini hawakupita vyuo vya udereva na wasio na leseni

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga akiwa katika Stendi ya Mabasi Kabwe Jijini Mbeya, amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kimkoa kwa kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto, magari, pikipiki na bajaji pamoja na kubandika Stika za nenda kwa usalama barabarani. Akizindua...
  16. BARD AI

    Shule zaagizwa kuwasilisha Orodha ya Mabasi ya Wanafunzi, Vitambulisho na Leseni za Madereva

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imezitaka shule zote nchini kuwasilisha orodha ya mabasi yanayotumika kubeba wanafunzi, sambamba na majina, namba za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na leseni za madereva wake, ili wasajiliwe kwa lengo la kuongeza udhibiti. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  17. Samatime Magari

    Je, umesikia habari za Uhakiki wa Leseni na Cheti Uliposomea Driving kwa Madereva ?

    Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue imetokea wapi, iko hivi.. . Duru zinasema kuna mwamba mmoja maarufu kwenye ndondi alikua anapiga...
  18. BigTall

    Wanawake Pemba wakerwa na tabia za madereva Bodaboda kuwashikashika

    Abiria Wanawake Kisiwani Pemba, wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki ‘boda boda’ kuwaingia mwilini wakati wanapokuwepo kwenye vituo vyao, kutaka usafiri wa aina hiyo. Walisema mara unapofika kwenye eneo lao la vituo na kutaka usafiri, huvamiwa na kuanza kukukopea mizigo na...
  19. Torra Siabba

    Madereva acheki kuweka roho za watu rehani, fedha haziwasaidii kitu

    Kuna kitu kimenishangaza sana, nilikua na safari yangu ya kutoka Nilipo kwenda Kigoma, nilisafiri na basi la Adventure, wakati tukiwa tumepita Kibondo dereva akaanza kupiga soga na sisi Abiria tuliokua karibu na yeye kuhusu Makampuni ya Magari namna wanavyodhoofishana. Basi akasema kwamba...
  20. M

    Madereva bodaboda msipojali usalama wenu hakuna atakayewajali

    Mara kadhaa Serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wa usalama barabarani wamekuwa wakihimiza madereva bodaboda kuvaa kofia ngumu (helmet) wawapo barabarani Ili kuwanusuru na ajali zinapotokea. Licha ya kuhimizwa baadhi ya madereva bodaboda Dodoma wamekuwa ni kama sikio la kufa lisililo...
Back
Top Bottom