Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
Kamanda Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema baadhi ya madereva wanavunja sheria za usalama barabarani kwa sababu ya namba za Serikali kama STK, STL, SM, PT na kulindwa na viongozi wanaowaendesha.
Amesema baadhi ya madereva hawafuati taaluma zao na wanajiamini kuzidi kiwango huku...
Ni siku chache tu zimepita tangu itokee ajali ambayo haikuwa na madhara makubwa kati ya basi la mwendokasi na defender ya Polisi.
Picha za tukio hilo zilisambaa mitandaoni na ilivyoonesha wazi kabisa kuwa mwenye kos ani yule aliyekuwa akiendesha ile gari ya Polisi kwa kuwa aliingilia njia ya...
Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi au Makampuni
Mie ni Dereva wa tours kwa miaka kadhaa sasa na utafiti Wangu nilioufanya ni kua Gari...
Hofu imetanda katika wilaya ya Tunduru , kutokana na Mauaji na kutekwa kwa vijana waendesha boda boda.
Taarifa kutoka mjini Tunduru zinasema , vijana wa bodaboda wamekuwa wakipotea baada ya kukodiwa na watu, wanaojifanya wanakwenda vijiji vya mbali na Tunduru.
Katika tukio la hivi karibuni...
Habari wadau
Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k
Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha!
Maeneo hayo kuna treka za...
Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
Habarini wakubwa na wadogo humu ndani.
Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha.
Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
"IMEANDIKWA KWENYE MAGAZETI MENGI YA LEO"
Jeshi la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata madereva wasiozingatia sheria za barabarani, wanaotumia vilevi, wakiwa wanaendesha magari pamoja na kuwakamata wamiliki wa magari yasiyokuwa na viakisi mwanga
Uamuzi huu wa polisi umekuja ikiwa ni...
Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine.
''Ungekuwa na haraka...
Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna malori (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika...
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi.
Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki?
Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi.
Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
Wakuu, nimo ndani ya basi la Abood kuelekea Dodoma ambalo linapaswa kuondoka saa 12 asubuhi.
Mpaka sasa saa 12:30 hakuna basi lililoondoka stendi hii ya Mbezi kuelekea sehemu mbalimbali.
Nimeulizia nikaambiwa madereva wana kikao.
Naenda moja kwa moja kwenye mada. Jana nimepita kujaza mafuta kwenye kituo kimoja sitakitaja nimefurahishwa sana na uelewa aliokuwa nao pump attendant aliyekuwa ananihudumia, ni hivi nilipofika pale nimesimamisha gari akaniamrisha nizime gari nikazima lakini nikasema ngoja nimhoji ni kwanini...
Dereva wa basi la Kampuni ya Saul T 485 DXE wamemshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed 115-120.
Kutokana na story ya muhusika anasimulia kuwa alikua na App ya kusoma speed ya gari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo.
Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group...
Imefika mahali hizi Ajali sio bahati mbaya tena ni Uzembe wa mtu mmoja unaweza ondoa maisha ya familia za watu wasiopungua 60 ndani ya basi ndani ya nusu saa tu!
Hii sio sawa...kwa nini tukubali kuwa kama kuku mtu mmoja Atuchinje kwa Akili yake tu bila sababu hivi hakuna njia mbadala ya kudeal...
Habari wanajamvi.
WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita.
Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.