madirisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Taliban yapiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanaangalia maeneo waliyopo wanawake kama jikoni

    Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita...
  2. Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  3. Karibuni sana kupata madirisha ya vioo na milango

    Natumai mko poa kabisa PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM _natengeneza madirisha ya alluminiu _milango ya alluminium & viooo _partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali _vioo vya saloon kike na kiume _kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika...
  4. Athari za ujenzi kwa kutumia madirisha ya aluminum kwa shule za msingi na secondary Mkoa wa Kilimanjaro

    Katika mchakato wa ujenzi wa madarasa ya shule za msingi, kuna masuala kadhaa ya kuzingatia kuhusu matumizi ya madirisha ya aluminium bila kuweka nondo. Kwanza, ni muhimu kujua ni muda gani madirisha haya ya aluminium yatadumu bila kuharibika, hasa ikizingatiwa kwamba watoto na wanafunzi mara...
  5. Tumekabizi kazi safi ya urembo wa nguzo na madirisha kwa mteja wetu wa tarime

    Ni urembo safi wa nguzo na madirisha ,ipende ngumba yako.
  6. 0

    Madirisha ya nondo yanauzwa

    Habari ya ijumaa. Nategemea mko na amani ya moyoni kwa kiwa Leo ni siku ya ijumaa. Madirisha ya nondo na fremu ya mbao yanauzwa. Kulikuwa na servant quarter inajengwa yakabaki hayo madirisha 2 kwa kuwa design ya ujenzi ili adilika. Yapo madirisha mawili. Jumla bei sh 90,000. Urefu futi 4 upana...
  7. Wale ambao tulishawahi kuaibika kwa kujiangalia kupitia madirisha ya vioo (Ya Aluminum) tukutane hapa ili tuache pamoja

    Mimi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 nikiwa katika pita pita zangu nikafika kwenye mjengo mmoja wa maana ulikuwa na madirisha ya vioo vile vyeusi si nikaanza kujiangalia vile vioo huku nikiwa najikenurisha mara bila kujua kuwa kumbe ndani kuna mtu ananitizama mara gafla lile dirisha...
  8. Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Habari za muda huu! Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km...
  9. Mnaoishi katika Maghorofa marefu hasa ya Upanga tafadhali mkiwa mnaanza 'Kunaniliana' muwe mnafunga kwa muda Madirisha yenu ili msitupandishe Midadi

    Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu. Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
  10. Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  11. Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  12. Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja...
  13. V

    DOKEZO Majembe Auction Mart waiba madirisha Majohe

    Ndugu zangu kuna mgogoro wa ardhi unaondelea hivi sasa maeneo ya Majoe na mtu anayedai kwemba hilo ni eneo lake. Mwanzoni mwa mwezi huu zaidi ya nyumba 48 wakazi wake walitolewa kwenye nyumba zao kwa amri ya Mahakama ilihali kesi ya msingi bado ipo Mahakamani. Wananchi wamekosa kabisa...
  14. Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

    Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  15. TAKUKURU waagizwa kuchunguza jengo la zahanati lililotumia Tsh. Milioni 75 na halina milango wala madirisha

    Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
  16. Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
  17. M

    Kuna umuhimu gani wa kuwa na vioo vinavyofunguka na kufunga katika madirisha ya mabasi?

    Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha. Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza. Watu mnasafiri muda mrefu bila hewa mpya kuingia ndani ya basi madhara yake ni kuumwa kichwa na...
  18. Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  19. Sijawahi yaelewa kabisa madirisha ya aluminium, yamekaa kifakefake sana

    Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga. Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa...
  20. D

    INAUZWA Door and window sensor alarm (alamu za madirisha na milango)

    Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini changamoto ni hela? Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia dirishani wakati wa usiku Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…