Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
855
Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi ni ghali, je kuna ukweli hapa au ni upigaji,
Nawasilisha anayefahamu anisaidie
 
Labda jibu ni ndio au sio.
Kinachotofautisha ni materials, sio rangi. Ila materials nayo yana rangi zake tofauti.

Mfano aluminum ya silver na ya dark gold ni bei moja. Kama hapa umeambiwa ni tofauti basi "unapigwa". Ila Sasa kuna PVC yako kama plastic ngumu yenyewe ni meupe ndio yana bei ghali zaidi.
 
Habari, Iko hivi, Aluminium profile inategemea na kampuni, rangi, size, kwenye vioo pia zipo aina nyingi, pia vinatofautiana milimita, kwa hiyo bei haziwezi kufanana, hivyo basi kuna kampuni za chuma kama Emirates, Dubai, LN future, CAT, Bluebay, Royal. Pia vioo kuna vya China na Indonesia. Kwa hiyo ukiona quotation zimetofautina labda mwingine yuko juu na mwingine yuko chini ujue imeshapigwa hesabu kutokana na budget yako Boss, Profile ziko za rangi nyeupe, Bronze, Grey, Black, Silver Formaica. Hii ni hatua ya finishing unatakiwa uwe makini uchague kitu ambacho ni quality na durable, nyumba yako ionekane ya kisasa zaidi, karibu sana Mbezi Aluminium and Glass ufurahie huduma zetu na Ofa zetu kabambe. 0743664260/0684617585
 
Dirisha la 6ft x 5ft upvc bei yake ikoje?
 
Single Glass inakua hivi
 
Attachments

  • FB_IMG_1744293573277.jpg
    FB_IMG_1744293573277.jpg
    34.6 KB · Views: 106
Aisee, Hatari Sana, ujenzi siyo mchezo kiongozi, lazima ufunge mkanda kweli kweli
Kabisa kabisa...so maana yake hapo ukiweka na gharama ya grill dirisha moja uandae 1million
Haya uje kwa fundi milango naye mlango wa mkongo anakwambia frame + top = 1 million.
Aisee kweli nyumba sio mali ya watu wote.
 
 Ndio Tajiri, hiyo ukiipiga mgeni akikutembelea lazima ashangae shangae kidogo, maana kipindi cha nyuma watu walikua wanadhani Upvc ni kwa ajili ya nchi za Ulaya zenye baridi kali
Ah wacha tuwaachie wenye hela zao sio wakuna pumbuz tutaweka kashata na nyavu maisha yanaenda.
Lazima jirani asikie ukiwa unashenyenta mbususu ya mrembo
 
Kabisa kabisa...so maana yake hapo ukiweka na gharama ya grill dirisha moja uandae 1million
Haya uje kwa fundi milango naye mlango wa mkongo anakwambia frame + top = 1 million.
Aisee kweli nyumba sio mali ya watu wote.
Kwa vipato vya kawaida useme nyumba isimame moja Kwa moja ni mtihani, lazima uende kwa stepu wangine wanahamia hivo hivo alafu ujenzi unaendelea mdogo mdogo
 
Ah wacha tuwaachie wenye hela zao sio wakuna pumbuz tutaweka kashata na nyavu maisha yanaenda.
Lazima jirani asikie ukiwa unashenyenta mbususu ya mrembo
Haaaa haaaa, usiogope mkuu, Mambo yatakua mazuri huko mbeleni, unaweka ata mawili mawili, unajikuta mwisho wa siku umemaliza yote, na nyumba inang'aa kama white House
 
Sasa hivi kulingana na bajet profile zmepanda bei rangi ya grey na rangi nyeupe kidogo ndio ipo chini na ndio watu weng san wanatumia kuwekea majumban, rangi nyeusi na rangi ya mbao ndio zipo juu ila mbao ndio ipo juu zaid kama bajet yako ndogo weka sm8 na chague rang hizo mbili ila zingne zpo juu silva na bronz upande wa ubora utachagua wew kampun ipi unataka kuitumia kwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom