sudy azizi
Member
- Sep 18, 2024
- 46
- 68
Nunua material, ufundi ni 25,000 kwa dirishaAisee balaaa....kumbe ujenzi nyoko.
Ah wacha nile mbususu tuu kwanza kujenga nitajengewa nyumba yangu ya milele
Dirisha la double glass kama aboarder TV?Upvc 6ft*5ft iko hivi Single Glass ni laki tano na tisini, alafu Double Glass ni laki saba na nusu.
Mkuu shida ni bei elekezi ya hayo material,unaweza ukauziwa bei juu ukija ku-calculate bei inakuwa mule mule,tungeomba utupe angalau bei elekezi ya material ya aluminium maana m mwenye nataka kuweka madirisha tatizo hzo bei ndo nomaNunua material, ufundi ni 25,000 kwa dirisha
Utakuta unaokoa gharama nyingi sana
Mkuu sikushauri kununua materials, tena gharama zitazidi, maana kwenye utengenezaji Fundi hatoumiza kichwa maana anajua utanunua tu, katika ukataji chuma na kioo kuna mahesabu makali sana, utajikuta unabaki na waste kibaoMkuu shida ni bei elekezi ya hayo material,unaweza ukauziwa bei juu ukija ku-calculate bei inakuwa mule mule,tungeomba utupe angalau bei elekezi ya material ya aluminium maana m mwenye nataka kuweka madirisha tatizo hzo bei ndo noma
Mkuu shida ni bei elekezi ya hayo material,unaweza ukauziwa bei juu ukija ku-calculate bei inakuwa mule mule,tungeomba utupe angalau bei elekezi ya material ya aluminium maana m mwenye nataka kuweka madirisha tatizo hzo bei ndo noma
ukifanya lak 5 nakupa kaz ya madirisha ma4Upvc 6ft*5ft iko hivi Single Glass ni laki tano na tisini, alafu Double Glass ni laki saba na nusu.
2024 nililetewa bill ya 23millions kuweka madirisha ya uPVC,nikapata mtu kanisaidia kupata sehemu ya kununua materials yote kisha nitafuta fundi ayatengeneze jirani na site,gharama zilipungua mpaka 15millionsNunua material, ufundi ni 25,000 kwa dirisha
Utakuta unaokoa gharama nyingi sana
Ni kweli silver na bronze bei iko juu kulinganisha na white na greyWadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi ni ghali, je kuna ukweli hapa au ni upigaji,
Nawasilisha anayefahamu anisaidie
Ndicho kinatakiwa japo panabaki na material mengi ambayo unaweza tengeneza madirisha mengine ukayauza2024 nililetewa bill ya 23millions kuweka madirisha ya uPVC,nikapata mtu kanisaidia kupata sehemu ya kununua materials yote kisha nitafuta fundi ayatengeneze jirani na site,gharama zilipungua mpaka 15millions
Hapa nilitamani uelezee in details kwasababu ndio nataka kuelewa zaidi, kuna research niko nayo nataka watu wanaojenga waweze kunifaika na Group Buying. Jana nilikuwa kwa jamaa yangu anadili na hizi mambo, nikamuuliza maswali kuhusu bei na rangi , akaelezea kwenye bei ila rangi sijua kwann hakueleza na akaweka ugumu wa mambo.Kwa hiyo ukiona quotation zimetofautina labda mwingine yuko juu na mwingine yuko chini ujue imeshapigwa hesabu kutokana na budget yako Boss, Profile ziko za rangi nyeupe, Bronze, Grey, Black, Silver Formaica.
Huo Ndiyo Ukweli Mchungu. Double glazing ni kwa ajili ya nchi za baridi. Na ni sheria mtu hairuhusiwi kuweka Madirisha na milango ambayo siyo double glazed pamoja na kuta ambazo si insulated. Na kazi mama ya double glazing na kuta kuwa insulated ni kuzuia baridi ya nje isiingie ndani na joto la ndani lisitoke haraka ndani na kupotea. Hayo mambo ya sauti it is negligible.Ndio Tajiri, hiyo ukiipiga mgeni akikutembelea lazima ashangae shangae kidogo, maana kipindi cha nyuma watu walikua wanadhani Upvc ni kwa ajili ya nchi za Ulaya zenye baridi kali