ONGEZEKO la uzalishaji wa pombe ya kienyeji aina ya ulanzi na mahusiano yake na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) limewaibua baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wakitaka usambazaji wa kondomu katika vilabu vinavyouza pombe hiyo kuongezwa.
Madiwani hao wameiomba kamati ya...
BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Kiutumishi .
Akitoa Taarifa hiyo katika kikao Maalumu kilichoketi mara baada ya kukamilika kwa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni...
Madiwani wa Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi, wamelalamika kukosekana kwa meza na viti katika ukumbi wa mikutano na ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na kupelekea madiwani hao kukaa chini wafikapo katika ofisi hiyo huku wakidai kushindwa kuandika kumbukumbu pindi wakiwa katika vikao...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya...
Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi ya maendeleo Kama ilivyoainishwa kwenye ilani
Wanabodi,
Kama kawa, leo nimepata fursa kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa swali Je Wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni Batili? Je, muswada huu ni mvinyo ule ule wa...
Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama.
Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
Hivi hii nchi wapi inaelekea kwa sasa, serikali itwambie hii bajeti ya vikao vya madiwani nchi nzima ya kuwawezesha na kuwaelimisha ili waende kwa wananchi kuwaeleza na kuwashawishi kuhusu mkataba wa bandari wanaitoa wapi?
Hata ivyo mimi naliwe najiuliza kunani kwenye mkataba huu hadi kufikia...
Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao.
Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na...
Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa.
Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na kuridhia ule mkataba wa kifedhuli.
Sasa wataalamu wetu wanasema lile deal la makubaliano ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI
"Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Bajeti iliyopita nilichangia kuhusu vikwazo vya wafanyabiashara wanaoliendea soko la...
Wabunge
Madiwani
Wenyeviti serikali za mitaa
Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo.
Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa.
Madiwani kwenye...
08 April 2023
Tunduma, Tanzania
BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAWAMANI KWA KUUA UCHUMI
Baraza la Madiwani linaloongozwa na CCM la mji wa Tunduma walaumiwa kuua mzunguko wa biashara na uchumi wa wananchi ktk mji wa Tunduma na matokeo yake sasa wafanyabiashara wanakwepa kununua mizigo ktk mji huo...
Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani.
Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao.
Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.