madiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Madiwani wa Moshi DC kutembelea vivutio vya utalii kwa kigezo kuhamasisha utalii wa ndani ni kuwaibia wananchi fedha zao

    Madiwani wa Moshi mkoani Kilimanjaro wanatarajia kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo wilayani humo Jumamosi ya Tarehe 11 Februari 2023. Akizungumza kwenye kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kupitisha mapendekezo ya mwaka 2023-2024, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi Moris Makoi...
  2. Mganguzi

    Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  3. BARD AI

    Tabora: Madiwani wamkataa Meneja RUWASA kwa madai ya kuwa na dharau

    Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua limeazimia kutofanya kazi na Mapambano Mashini ambaye ni kaimu meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini na Vijijini (Ruwasa) wilayani Kaliua kwa madai ya kulidharau baraza hilo. Uamuzi huo umesomwa kwa niaba yao na...
  4. SULEIMAN ABEID

    Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  5. SULEIMAN ABEID

    Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  6. BARD AI

    Madiwani wamtaka Mkurugenzi kuchunguza wizi wa dawa Mafinga

    Madiwani wa Halmshauri ya Mji Mafinga wilayani hapa, wamemwomba Mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuunda kamati ya kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma wizi wa dawa katika kituo cha afya Ihongole unaolalamikiwa na wananchi. Hayo yamebainishwa na Diwani wa viti maalum Dainess Msola katika kikao cha...
  7. Poppy Hatonn

    Madiwani Mtwara wadai kukuta ujumbe wa vitisho nyumbani

    Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
  8. Lady Whistledown

    Siha: Madiwani waugomea mradi wa Maji, Mbunge aagiza kukamatwa kwa Mkandarasi

    Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango. Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
  9. B

    Shaka akagua miradi Pemba, aahidi CCM itawalinda Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani

    SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kisiwani Pemba na kuwahakikishia wananchi kuwa Chama kitaendelea kuwalinda...
  10. M

    Ubaguzi: Madiwani Zanzibar kulipwa mishahara huku wa Tanzania bara wakitumika kwa posho ya vikao

    Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa. Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni. ======= Madiwani Z’bar kulipwa mishahara Jesse Mikofu Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha...
  11. Championship

    Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

    Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
  12. Nanyaro Ephata

    Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

    Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji! Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
  13. The Sunk Cost Fallacy

    Rorya: Madiwani wadaiwa kupanga kumteka M/kiti wa Halmashauri wakigombea eneo la kujenga Kituo cha Afya. RC Hapi atishia kuvunja Baraza la Madiwani

    Moja kwa moja kwenye mada. Katika Hali ya kushangaza, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara walikutana usiku kupanga njama za kumteka Mwenyeki wa Halmashauri yao. Kiini cha mgogoro ni kutokana na kutokubaliana sehemu ambapo panatakiwa kujengwa Kituo cha Afya. Hatua hiyo...
  14. mkwapuaji

    Kwanini wabunge wanapaswa kuwa madiwani...

    Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a kuifahamu historia ya jimbo lao la uwakilishi Leo nimeona ipo haja ya kubadili mfumo wa kuwapata...
  15. J

    Temeke: Madiwani Viti Maalumu wakutana na DC Jokate Mwegelo

    MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
  16. Shujaa Mwendazake

    Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

    "Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
  17. M

    Dhana ya mikutano ya hadhara kufanyika majimboni vipi wapinzani wasiokuwa na madiwani na wabunge

    Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao. Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
  18. P

    Pendekezo: Wabunge watokane na Madiwani wa Jimbo husika

    Kuepuka gharama, rushwa na mlolongo mrefu wa majukumu. Napendekeza hivi: Diwani awe na elimu ya chuo, Mbunge atokane na madiwani, Mkiti/Meya wa jiji/halmashauri/Mji/Manispaa Wawe mbadala wa mbunge anapofariki au tatizo lakiafya. M/Kiti Msaidizi: Meya msaidizi apande na madiwani wamchague...
  19. Analogia Malenga

    Waziri Lukuvi afuta waraka unaokataza madiwani kuidhinisha mipango ya uendelezaji miji

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta waraka namba moja unaowaondoa madiwani kushiriki katika shughuli za uidhinishaji mipango ya uendelezaji miji katika halmashauri zao uliotolewa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi nchini. Kabla ya kutolewa waraka huo mpya...
  20. Determinantor

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu. Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu. Sio sahihi Hata kidogo. ======= Baraza Maalum la Madiwani...
Back
Top Bottom