madiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Madiwani na wabunge walioacha nafasi zao na kurejea CCM walilipwa mafao kamili kwa kodi za Serikali?

    Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono. Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
  2. Baraka Mina

    Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma. ===== KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
  3. SN.BARRY

    Mbunge na Madiwani Iringa Mjini, wasaidieni Madereva wa Bajaji

    Vijana hawa wananyanyasika sana na polisi pamoja na mkuu wa wilaya. Kila siku lazima wakamatwe au kupigwa mabomu ya machozi bila sababu za msingi. RPC aliapa kuwanyoosha/kulipa kisasi kwa sababu walimzomea mkuu wa wilaya
  4. Analogia Malenga

    Uhaba wa vyoo kwenye ukumbi wapelekea Madiwani wajisaidie vichakani

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga hasa wenye ulemavu wapo hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kipindupindu kutokana na ukumbi wanao utumia kwa ajili ya mikutano kuwa na uhaba wa matundu ya vyoo hali inayopelekea kujisaidia kwenye vichaka vilivyopo karibu na...
  5. mgt software

    Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na Uchama kuanzia Wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo

    Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo. Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua kwamba mwaka wa ushindi wa kishindo ambao wapinzani walisusa uchaguzi viongozi wa CCM wengi wao...
  6. J

    DED Godigodi: Madiwani hawana ubavu wa kunisimamisha kazi kwa sababu hawajaniteua wao

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi. Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa...
  7. J

    Mbunge wa CCM adai DED wa Kilwa anajifanya mungu-mtu. Ametukana madiwani, Mbunge hadi RC na anawadharau sana

    Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa. DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy...
  8. COARTEM

    Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

    Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya. Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli. Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
Back
Top Bottom