maduhu william

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili wa haki za binadamu: Watuhumiwa maandamano Dar hakuna raia wa kigeni

    Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye si raia wa Tanzania miongoni mwa mamia ya vijana waliokamatwa kutokana na maandamano na vurugu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Msomi, Maduhu: Jeshi la Polisi ni chombo cha usalama, lazima liheshimiwe. Wananchi msiwashambulie

    Wakili Maduhu ameonya dhidi ya vitendo vya wananchi kujaribu kushindana na askari polisi, akirejea baadhi ya video zilizozagaa mtandaoni. “Nimeona video, sijui kama ni ya kweli au imehaririwa, ikimuonesha mwananchi akijaribu kumrushia askari ngumi. Hili haliwezi kukubalika. Jeshi la Polisi ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Maduhu William: Vyama pinzani vinahitaji kuwa na sera madhubuti na mbadala kushindana na CCM siyo maigizo

    Wakili Msomi Maduhu William Mchambuzi wa masuala ya Siasa akizungumza katika kipindi cha Sentro Clouds TV ameeleza kuhusiana na Vyama pinzani kushindana na Chama cha Mapinduzi CCM inahitaji kuwekeza katika hoja na watakachofanya kwa wananchi kuzidi CCM iliyopo madarakani kuwa na sera madhubuti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…