Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika.
Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AELEZA KILIMANJARO ILIVYONUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
"Mheshimiwa Rais ametupatia fedha kwaajili ya ujenzi wa kuimarisha vituo vya afya na utoaji huduma katika Zahanati 35 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ametupatia Shilingi Bilioni 2.59 na Shilingi bilioni 4...
Ni chaguzi kuu 6 sasa zimefanyika hapa nchini tangu tupate Uhuru.
Ahadi kutoka vyama vyote kwenda kwa wananchi ni zilezile maji, barabara, elimu, na afya.
Kwa watumishi hawa ninaowafahamu Mimi kwa miaka 8 sasa wananchi hawatakuja kupata utoshelevu wa mahitaji ya elimu, maji, umeme, miundombinu...
Kuwekwa vikwazo vya upande mmoja (unilateral sanctions), na kutumia majukwaa ya kimataifa kuweka vikwazo hivyo kumekuwa ni moja ya njia zinazotumiwa na baadhi ya nchi za magharibi, kuzibana nchi nyingine na viongozi wake, pale zinapoona kuwa nchi hizo hazifuati matakwa yao. Bahati mbaya ni kuwa...
Michezo ya 19 ya Asia inayofanyika mjini Hangzhou, China ni jukwaa kubwa zaidi la michezo barani Asia, na inafanyika kwa mara ya kwanza baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na changamoto ya COVID-19. Kwenye hotuba ya ufunguzi wa michezo hiyo, Rais Xi Jinping wa China alikumbusha kuenzi kauli...
Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda mrefu, kwamba hatua za upande mmoja ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho.
Mhe...
Mimi sio mtu wa mchezo wa masumbwi ila nimelazimika kufuatilia huu mzozo kati ya Mwakinyo na mapromota na kujikuta nimejua mambo kadhaa kuhusu mchezo huo. Na baada ya wengi wenu kunisihi nitoe maoni yangu kuhusu hili sakata nimeona acha nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Na...
Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
Dondoo
Mradi wa maji Bilioni 5.6
Mradi wa Bwaro Shule ya Sekondari Mil. 100
Mradi wa kituo cha Afya. Mil. 526
Viongozi wa UWT Taifa leo Septemba 28. 2023 wamefika wilaya ya Chato katika muendelezo wa Ziara ya kikazi inayoendelea mkoani Geita, yenye lengo la kuzungumza na wana CCM, kuimarisha...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo.
Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo ya Asia ya Hangzhou inayoendelea sasa, China imekuwa mwenyeji wa michezo kadhaa muhimu ya kimataifa...
Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu.
Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara.
Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini kama ilivyo...
(1) BARABARA
1a. Musoma-Makojo-Busekera
TANROADS wako kwenye utaratibu wa manunuzi kwa ajili ya uwekaji lami kwenye barabara hili ambalo Serikali imeamua kulijenga kwa awali mbili.
Nimewasisitizia (Mbunge wa Jimbo) kwamba ujenzi unaotafutiwa Mkandarasi uwe wa kuendeleza ujenzi wa Lot 2...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ‘Mcheza kwao hutunzwa’ hivyo ni lazima Serikali ipeleke maendeleo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ili kumtunza kwa maendeleo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kwakuwa kazi yake ya kuwatumikia Watanzania ni kubwa hivyo...
Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
MBUNGE NGASSA: "WANANCHI TUENDELE KUSHIKAMANA , MAENDELEO HAYANA NJIA YA MKATO"
"... Mwaka 2021 baada ya Uchaguzi Mkuu Nilikuja kufanya Mkutano wa kushukuru hapa kwenye Kijiji chenu, Nikawaahidi kukamilisha Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi katika kuunga mkono nguvu zenu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizundua miradi ya maendeleo mkoani Mtwara, leo tarehe 15 Septemba, 2023.
https://www.youtube.com/live/7YAoZNVv3PU?si=yFcaO4PqMy3Pj70N
===
Rais Samia amesema Tanzania itafanya demokrasia kuendana na mila na tamaduni zetu, demokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.