maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe Yaliyopo Ludewa Njombe Kati ya Wawekezaji wa Ndani na Shirika la Taifa la Maendeleo

    Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
  2. Jemima Jackson

    CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
  3. R

    Kwanini jimbo la Kawe limetoka kupelekewa miradi mikubwa ya maendeleo badala yake linapelekewa jezi za mpira? Tunakwenda wapi kama Taifa?

    Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
  4. L

    Toleo jipya la simu janja ya Huawei ladhihirisha maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya China licha ya vikwazo vya Marekani

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala mkubwa katika jamii ya Wachina, ikiwa ni tofauti na hali inavyokuwa wakati wa kuzindua bidhaa mpya...
  5. Intelligence Justice

    Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  6. Kabende Msakila

    Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  7. Erythrocyte

    Hakuna Nchi iliyowahi kufanikiwa kwa Teuzi za kulenga Chaguzi badala ya Maendeleo

    Kichwa cha Habari Chajieleza , Uongozi wowote wa Umma Duniani kote ni dhamana ya muda mfupi sana , tena ni dhamana ya kusaidia kuboresha maisha ya jamii husika (BOTTOM UP) , ni fursa kwa aliyechaguliwa kuongoza kuonyesha Uwezo wake wa kuisaidia jamii yake . Maana yake ni kwamba viongozi wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  9. L

    Rais Samia apongezwa kila kona ya nchi kwa msimamo wake wa kupeleka maendeleo kila mahali pasipo ubaguzi wala chuki

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kujizolea sifa, kuandikwa jina lake kwa wino wa dhahabu katika mioyo ya Watanzania, kuacha alama za kukumbukwa na Watanzania kutokana na misimamo yake ya kizalendo na kibinadamu kwa Watanzania. Rais Samia kwa ujasiri, uchungu, ushupavu, uzalendo na...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited. Dkt. Kijaji amebainisha...
  11. Mto Songwe

    Siri ya maendeleo ya taifa masikini kuinuka

    Siri muhimu kwa taifa masikini kuinuka kutoka katika dimbwi la umasikini. Hii siri ambayo viongozi na wananchi wengi wa mataifa masikini hatupo tayari kuipokea na kuikubali. Kama taifa tunataka tutoke haraka hapa tulipo kuna siri moja ya muhimu sana ambayo tunapaswa kuifahamu na kuikubali hata...
  12. H

    Maendeleo ya kweli ya Tanzania yatafanywa na Watanzania wenyewe

    Watawala wangu kama hamtalishika Hilo neno hapo juu, na kulifanyia kazi kwa dhati yenu yote, sahauni kabisa kuwa na maendeleo kwenye nchi hii. Nawaambia hivi hata mlete malaika kutoka mbinguni kamwe hamtayapata hayo maendeleo. Sio malaika tu hata Mungu mwenyewe aje hawezi kuwaletea maendeleo...
  13. robinson crusoe

    Maoni ya Katoliki kuhusu Mkataba siyo siasa, ni wajibu wa kiuchumi

    Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi. Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu...
  14. Stephano Mgendanyi

    Hakuna Kilichosimama Miradi ya Maendeleo - Mbunge Cherehani

    HAKUNA KILICHOSIMAMA MIRADI YA MAENDELEO |USHETU INASIMAMA NA RAIS SAMIA - MBUNGE CHEREHANI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha...
  15. M

    Maendeleo ya kutengana kwa Kanisa/Dini na Siasa katika historia ya Dunia

    Na. Ismail A. Ismail Nianze na Nukuu ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete August, 2023 "Siku ikifika itikadi ya Kisasa na Imani thabiti ya kidini ikiuhusianishwa na Chama fulani Cha Dini Ndio Mwisho Wa Taifa Hili, tutakua na Chama Cha Siasa Cha Wapagani, Chama Cha Siasa Cha Walokole, Chama Cha...
  16. Stephano Mgendanyi

    Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Kasi ya Maendeleo Jimbo la Manonga, Wampongeza Mbunge Gulamali

    UONGOZI UWT TAIFA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA MANONGA UWT Taifa Washambulia Kata 8 Jimbo la Manonga na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa Bi Asya Ali Khamis Atembelea Jimbo la Manonga Kata ya Choma katika Ziara ya Kukagua Miradi...
  17. pangalashaba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Habari za majukumu great thinkers? Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
  18. kmbwembwe

    Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  19. S

    Rais Samia amewatuma Mabalozi wakaulize wenzetu wamefanya uchawi gani kukua haraka kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anasema : "Sote tunafahamu kuwa miaka ya 1960/70 nchi yetu na nchi za bara la Asia zilikuwa na uchumi unaolingana, lakini 'baada ya muda' wenzetu wametupita tena sana. Mfano Thailand kwa miaka hiyo ilikuwa na 'GDP Per Capita' ya Dola 166 na Tanzania tulikuwa 165. Leo...
  20. L

    Mkoa wa Xinjiang waendelea kupata maendeleo makubwa licha ya ukosoaji mkubwa wa mara kwa mara wa nchi za magharibi

    Katika siku za hivi karibuni baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikitumia majukwaa ya siasa za kimataifa, kutoa kauli na maazimio yanayoikosoa China kuhusu Xinjiang. Ukosoaji huo umekuwa ukitumia maneno yaleyale licha ya kuwa wanaotoa maneno hayo wanatambua kuwa hayana mantiki na yanaendelea...
Back
Top Bottom