Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo.
Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982
Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
Kheri Mbugani kuliko Barabara ya kuvuka kipawa.
Tunaishukiru serikali Kwa kutujengea Barabara lakini Barabara hii imekuja na karaa na huzuni Kwa familia nyingi za wakazi wa kipawa.
Barabara Haina kivuko, magari yanapita njia zote kitu ambacho kinahatarisha maisha ya wananchi including...
Uongozi wa jimbo la Beni, umetaarifiwa na serikali ya rais wa DRC Tshisekedi, kutotambua bidhaa kutoka mji wa Goma, kwa njia ya ardhi au ya anga, maeneo ya Bunagana na Ishasha, maeneo yanayosemekana kuwa mikononi mwa jeshi la Rwanda.
Bidhaa zote kutoka maeneo hayo, zitatakiwa kulipa ushuru kama...
Karibu mara zote uwepo wa rangi ya udongo mwekundu ardhini husababishwa na kutu. Chuma kikikutana na hewa ya oxygen na maji hutokeza kutu. Maeneo yenye udongo mwekundu huwa na ardhi yenye madini chuma mengi. Chuma hicho kikipigwa na hewa na maji hutokeza kutu.
Kasulu.
Udongo huu ukiwa umekolea...
Utangulizi
Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
TAARIFA KWA UMMA
MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA
UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM
Jumatano, 19 Februari 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
18 February 2025
Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi
Lawrence Kanyuka
https://m.youtube.com/watch?v=FwWbbi-Ybms
ili kujionea ukweli wa masuala ya utawala bora, usalama na ulinzi ulivyodumishwa...
Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo.
Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-.
Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani?
*Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo.
PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani.
Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo wakazi wa hapo waliiomba Manispaa ya Kinondoni wawe wanatupa taka hapo kwa nia ya kuzuia mmomonyoko...
#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana Jumatano, makundi hayo ya vijana Wazalendo wanaoungwa mkono na jeshi la serikali walichukua udhibiti wa...
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃
Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.