maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  2. Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki
  3. Maeneo ambayo kwasasa ya Fursa ya Ajira kutokana na ujenzi hapa Dar

    Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk 1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo mbalimbali, maeneo hayo ni kama ifuatavyo; Mjimwema, Kibada, Kimbiji, nk. Nakuhakikishia Fundi ujenzi...
  4. R

    Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?

    Wakuu, Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
  5. Ukraine wafaulu kupasua ngome ya Urusi na kukomboa maeneo

    Ifahamike Urusi walikua wamejichimbia kwa kila namna ikiwemo kutegeshea mabomu mengi sana ardhini, hivyo kupasua ngome mpaka kuwafukuzia na kukomboa maeneo kwa kweli ni shughuli, ila uzuri Ukraine wanapigania ardhi yao, hivyo wana kila sababu za kuendelea kushambulia, je Warusi wanafia nini...
  6. R

    Kuna mgao wa maji unaendelea kimyakimya maeneo ya Tegeta?

    Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije? DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
  7. Msuguano mkali unaendelea Bakhmut, Warusi waendelea kupoteza maeneo ndani ya mji

    Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000 After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
  8. Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

    Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa. Iakini upango huo...
  9. SoC03 Maeneo ya Wazi na ya Umma Mijini na Vijijini Yalindwe

    Utangulizi Kimsingi, maeneo yote ya wazi ni ya umma. Ni maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya shughuli za kijamii na hata kiserikali. Maeneo haya sii lazima yawe tupu; ni maeneo yasiyokuwa na majengo ya aidha makazi au ya shughuli nyingine za kibiashara. Maeneo haya ni pamoja na viwanja...
  10. Naibu Waziri Ndejembi ataka Maeneo ya kujenga Shule yatengwe kukidhi mahitaji

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amesema kuna ulazima wa kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kukidhi mahitaji yanayotokana na ongezeko la wanafunzi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto wa wanafunzi kutembea umbali mrefu. Mhe...
  11. Bei ya Sukari Imepanda Ghafla, Nini Kisababishi?

    Mkoani kwangu kilo Moja ni Kati ya sh.3300-3500, Wafanyabiashara tupeni sababu Kwa nini bei Imepanda ghafla kiasi hiki? Ukiuliza wanasema Sukari haipatikani. Serikali chonde chonde fanyeni hima bei ya Sukari irudi kule kule Kwa kilo sh.2700-3,000 ---- Kupanda kwa bei ya sukari kumeanza...
  12. Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  13. Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  14. Watu 5 mbaroni wakihusishwa na kifo cha muuguzi wa KCMC

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Khudheifa Changa, ambaye alikuwa ni Muuguzi wa Hospitali ya KCMC Moshi mkoani humo. Inadaiwa Khudheifa Changa aliuawa usiku wa kuamkia Julai 2, mwaka huu wakati akipita katika uchochoro wa Mtaa wa Marindi...
  15. SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  16. U

    Kuna Hoteli yeyote ya nyota tano maeneo ya Mbagala?

    Wasau hamjamboni nyote? Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano? Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko. Karibuni
  17. Sheria zinaruhusu uchinjaji wa mifugo kwenye maeneo ya Ibada kisha kugawiwa hovyo kwa raia?

    Siku mbili nyuma nimeshuhudia tukio ambalo serikali imelikalia kimya ila lingeweza kuleta madhara makubwa sana kwa Jamii. kondoo zaidi ya mia 4 zimechinjwa bila kufuata taratibu za kiafya na kisha kugawiwa kwa raia! Je, hii mifugo ilikuwa salama kiafya haikua na magonjwa yoyote? serikali...
  18. Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu. Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya...
  19. B

    Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

    Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka 1. VINGUTINGUTIH 2.KWA MUPALANGEY 3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN 4. TAN DALE QUA MUTOGLE 5. TEAMAKEY 6. MAN THEY SAY 7. KEY MARAY sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa...
  20. Wananchi Wanaozunguka Uwanja wa Ndege wa KIA Watakiwa kuwa na Subira ya Malipo ya Maeneo yao

    WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…