Alaumu wanajeshi wa Urusi kuendelea kuachia maeneo na kushangaa namna wazalendo wa Ukraine wanakomboa maeneo.
Yaani Ukraine wana mzuka wa kichizi, vijana wanaingia kwenye historia kama ambao walijitokeza kuikomboa nchi yao, sikutegemea kitu kama hiki kwa vizazi vya leo, vijana wa leo huwa...
Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta.
Naomba nimpe pasi honorable Dr Mshana Jr awezeku-share nasi vilinge mbali mbali anavyovifahamu kutoka...
MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023.
"Serikali katika Jimbo...
Habari ndugu Wana jukwaa,
Naomba kwa dhati na nia njema tusaidiane kuyaanisha maeneo makuu ya maadili yanaoyebeba kinachoitwa maadili ya mtanzania au Kitanzania ni yapi.
Je, hayo maeneo makuu yanayobeba maadili ya Mtanzania ni yapi?
Nyongeza je, hatua ya viongozi kuwa wala rushwa, wezi...
SERIKALI KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA KINA KATIKA MAENEO YALIYOPATA ATHARI ZA MAFURIKO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni amesema Serikali kuendelea kufanya tathmini katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko.
Serikali...
Salaam Wakuu,
Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula.
Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala.
Hali...
Habari zenu wana jamvi.
Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri.
Itanipa unaafuu zaidi kama nitapata shule zilizo maeneo ya Tegeta-Boko-Bunju. Ada pia iwe stahimilivu🙏
Natanguliza...
Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k.
Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika upande wa umalaya, matumizi ya Bangi/Maddawa ya kulevya, uhalifu, mapenzi ya jinsia moja, ubakaji na...
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu.
Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji.
Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe...
KOMREDI KAWAIDA - HALMASHAURI TENGENI MAENEO YA KILIMO
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida ameendelea kukagua maendeleo ya mafunzo ya Kilimo kwa vitendo Shambani wanapofanya Programu vijana wa BBT na kupata wasaa wa Kuzungumza na vijana walio kwenye program hiyo.
Aidha Ndg...
Tanzania ina vivutio vingi vya utalii, vingine ni maarufu na vinajulikana sana, lakini kuna maeneo mengine ambayo ni mazuri zaidi kutalii na hayajulikani sana. Hapa kuna maeneo kadhaa ya kutalii Tanzania yasiyojulikana:
Maziwe ya Chumbe: Hii ni kisiwa kidogo kilichoko kusini mwa Zanzibar...
Jana nilitoka na demu moja ni liyanga lenzangu ili twende tukawazomee Simba wakifunga 3 na Wydad. Hili lijidada mashallah kweli kweli toka jumatano linaniambia twende sote tukaangalie mpira.
Tukapitia maeneo uhasibu kwanza tukachangamshe koo na kuchezesha taya kidogo. Tukaenda uwanjani. Kwenye...
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
Habari Wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.
~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.
~ Bajeti laki 5 (500,000).
~ Iwe maeneo tulivu
Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.
Najua...
Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma.
Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
Kama tunavyokumbuka serikali ilifanya zoezi la upimaji wa viwanja maarufu kama 20,000.
Zoezi lilienda vizuri na upimaji ulifanyika vizuri kwa kuacha baadhi ya maeneo kuwa ya wazi kama ilivyo katika miji na majiji mengine ulimwenguni.
Kuna eneo moja Mbweni karibu na kituo cha polisi liliachwa...
JF ni hazina (rich source of information) ya taarifa mbali mbalimbli zinazotolewa na members. Fahamu kuwa kila idara/sekta/eneo la kiserikali la kazi haiwezi kukosa mtu member wa JF. Hivyo kama kuna maovu yanayotendeka, ukifuatilia JF utayakuta wameyataja/wameyaandika. Unaanzia hapo unatafuta...
Nina swali moja kama sio mawili.
Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila utaratibu wowote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.