maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    Maeneo ya Ukraine yaliyokwapuliwa na Urusi kwa mkakati maalumu

    Haya maeneo ambayo Ukraine hataki kwenda meza ya mazungumzo pasipo kukabidhiwa .Russia amekwapua maeneo hayo kwa ajili ya mkakati wake wa kuikabili NATO. Kama Ukraine atang'ang'ana na mpango wake wa kwenda NATO hayo maeneo asahau katika ramani ya Ukraine. Ukraine ameshupaza shingo na NATO yake...
  2. MK254

    M23 waendelea kuachia maeneo kwa jeshi ya EAC

    Hongera EAC kwa kulichukua hili....... Congolese rebels M23 say they will on Thursday pull out of Rumangabo, a military camp in Rutshuru, North Kivu, they had occupied, in adherence to calls for a ceasefire under the regional arrangement. This will become the second occupied territory the...
  3. W

    Plot4Sale Eneo kwenye fensi kubwa na majengo linauzwa 70 Milioni, Kibaha kwa Mathiasi

    ENEO: Ukubwa wa 6,196 sqm (mita za mraba). Ambalo limeendelezwa kwa kujengwa ukuta na majengo ya matumizi mbalimbali ambayo yapo katika hatua za kumalizika. umeme umekwisha fikishwa wa “three phase”. Eneo lipo karibu na shule ya primary na secondary ya St. Flora/Mikongeni, lipo kwenye barabara...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam yananuka kinyesi

    Direct kwenye mada, Dar es salaam hasa Uswahilini kunanuka kinyesi. Ila cha ajabu wananchi wa maeneo husika wako comfortable wanakula na kufanya shughuli zao maeneo yanayonuka kinyesi.
  5. MK254

    M23 waanza kuachia maeneo

    Hizi ni hatua nzuri kuelekea kupata amani ya kudumu DRC. Feared Congolese rebel group M23 on Friday agreed to withdraw from its positions in Kibumba, 20 kilometres from Goma in the eastern Democratic Republic of Congo, showing the first signs of thawing peace and respite for civilians. The...
  6. B

    Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

    Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona wapate muda wa kuona Jiji na mimi. Wamekuja na mademu wao na mimi wameniletea wawili. Wasichana wenyewe...
  7. J

    Wajuzi wa biashara wa maeneo haya, nipeni mbili tatu!

    Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Haya wanajamvi, ndugu yenu naondoka hapa Dar es Salaam naingia mkoani kwa shughuli za utafutaji. Naombeni ushauri kati ya...
  8. peno hasegawa

    Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  9. The Supreme Conqueror

    Maeneo 6 Duniani ambapo jua halizami

    6 places on Earth where the sun never sets! Our routine revolves around 24 hours a day, with around 12 hours of sunlight, and the remaining hours are night time. But, did you know that there are places across the world where the sun does not go down for more than 70 days? Imagine how...
  10. The Supreme Conqueror

    Maeneo 6 Duniani ambapo jua halizami

    6 places on Earth where the sun never sets! Our routine revolves around 24 hours a day, with around 12 hours of sunlight, and the remaining hours are night time. But, did you know that there are places across the world where the sun does not go down for more than 70 days? Imagine how...
  11. Akilihuru

    Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  12. Jemima Mrembo

    Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

    Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja. Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa. Asubuhi ya leo akaenda...
  13. Equation x

    Maeneo haya yakiboreshwa, yatapunguza foleni mahospitalini pamoja na umauti kwa wagonjwa

    Nimejaribu kutembelea baadhi ya mahospitali, changamoto kubwa niliyokutana nayo ni msongamano wa wagonjwa, kuwa kwenye foleni ili kupata huduma. Wengine wanakuwa wametoka majumbani tangu asubuhi na wanamaliza siku nzima wanakuwa hawajapata huduma kwa wakati. Kwa mtazamo wangu, hii changamoto...
  14. kagoshima

    IRIS-T limedungua cruise missle 44 kati ya 50 zilizorushwa na Urusi kwenye maeneo ya Raia na miundo mbinu

    Hilo dude hilo. missles 46 kati ya 50 zimechakazwa. zilikua zinalenga miundo mbinu na makazi ya raia
  15. GENTAMYCINE

    Tafadhali wakazi wa Maeneo haya hebu tupeane 'updates' za Maji kutoka ili angalau Leo tuoge tusinuke

    1. Masaki 2. Kawe 3. Oysterbay 4. Mikocheni 5. Mbezi Beach 6. Mwenge 7. Kijitonyama Nasubiri kwa hamu tu updates zenu.
  16. SAYVILLE

    Suluhisho la haraka litafutwe kuondoa harufu mbaya maeneo ya Kivukoni

    Ndugu wananchi, leo nakuja na mada ngumu kidogo. Mazoea ya kitu hayahalalishi kwamba jambo hilo ni sawa. Linaweza kuwa tatizo lakini mazoea yakakufanya usione umuhimu wa kulitatua. Tumekuwa tunaishi miaka mingi na uwepo wa soko la samaki pale Kivukoni au wengi wanapaita Ferry. Soko lile pamoja...
  17. Roving Journalist

    DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  18. Mboka man

    Kumi bora ya maeneo yaliyowahi kuogopeka Dar kwa uhalifu, uhuni na tabia za kishenzi

    1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k. 2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi. 3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa. 4. Mburahati madoto hadi festini...
  19. ERoni

    Mamlaka, Jengeni maeneo ya watu kupumzika na kuhuisha akili zao

    Wakuu, Ni ajabu sana kuona miji midogo ndani ya majiji haina sehemu zenye utulivu kwa ajili ya watu kupumzika na kutembea, huku wakicheza na watoto wao, wakinywa soft drinks na bites, wakipiga picha na kupumzisha mafuvu yao. Mji mdogo kama Mbezi-Kimara, kutwa ni shughuli za kiuchumi...
  20. MK254

    Rais Putin anaposema yuko tayari kuachia baadhi ya maeneo, kwani kura alikuwa anapiga ya nini?

    Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea. Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana yanaendelea kushushwa Ukraine ya kukinga dhidi ya hayo mabomu. Amekusanya wanywa gongo wenyewe...
Back
Top Bottom