Mtandao wa Vodacom umezindua huduma ya intanenti ya kasi kubwa ya 5G mapema leo 1/9/2022. Sasa kama kuna baadhi ya maeneo 3G tu haikamati hii, 4G kusumbua kwenye maeno mengi, hii 5G italeta tofauti yoyote?
Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie...
Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo.
Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
Ni muda kidogo sasa tangu kutekelezwa kwa agizo la kuwaondoa Wamachinga maeneo ya katikati mwa majiji na miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuwapanga vizuri lakini pia kuyaweka maeneo hayo katika hali ya usafi.
Habari mbaya ni kwamba katika maeneo mengi...
Imekuwa changamoto kubwa sana kwa watoto wanao anza awali au darasa la kwanza kwa maeneo ya vijijini na hususa ni kwenye makabila yanayo dumisha zaidi Lugha mama kuliko kiswahili.
Kuna kuwa na kazi kubwa ya kumtoa mtoto kutoka lugha yake mama kwenda Kiswahili kisha kumleta katika Kingereza hapo...
Utangulizi`
Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira.
Taka...
Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za
uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni,
Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Mhe. Saudi...
INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022.
DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII
Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo.
Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
GAMES AND SPORT
eneo hili ni pana sana na lina mambo mengi sana ndani yake na kundi kubwa 98%ya wakazi wa dunia lazima wawe kwenye eneo hili kila siku mchana na usiku ukiwekeza hapo uaona mafanikio lina mabilionea wengi sana duniani hapa
SCIENCE
Eneo hili si la kila mtu anaweza kuwekeza bali...
Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote.
Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
Kuanzia tarehe 20 -21 Mwezi Julai, Mkutano wa 11 wa jumuiya za washauri bingwa kati ya China na Afrika ulifanyika hapa Beijing. Mkutano huo uliwakutanisha mabalozi, maofisa waandamizi wastaafu, maprofesa wa vyuo na taasisi za utafiti wa mambo ya Afrika za China na nchi za Afrika, pamoja na...
Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa.
Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini.
Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer
Sasa najiuliza:
1...
Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao.
Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
Salaam,
Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma.
Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini.
NB: Tunaomba zoezi la...
Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
Nyerere akiwa ziarani Netherlands in 1985
Nyerere akiwa na Onno Ruding, Waziri wa Fedha wa Uholanzi, 1985
Nyerere akiwa na Rais wa Marekani Jimmy Carter na Mke wa Rais Rosalynn Carter katika
Ikulu ya White House, 1977
Nyerere akiwa ziarani Uholanzi mwaka 1965
Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu.
Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.