..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude...
Habri!! Muda si mrefu ninaingia hapo jijini, kuanza Kazi. Kituo cha kazi kipo Upanga, Sasa nauliza wazoefu wa mjini vyumba maeneo hyo vinapatikana kwa sh ngapi?? Mfano chumba na sebule au chumba ambacho ni self au Sio self coz nataka nijue najipangaje wakuu.
Au maeneo jirani na Upanga?!
Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu.
Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi...
Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!!
Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
Kisiwa cha Hainan hakifahamiki kwa waafrika wengi, kama ilivyo miji mingine ya China kama vile Beijing, Shanghai au Guangzhou, lakini inaaminika kuwa katika siku za usoni, kisiwa hiki kitakuwa moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano kati ya China na Afrika, haswa katika sekta ya...
UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020.
Kama...
Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero.
Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe.
Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
Habari wana MMU,
Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye.
Naanza mimi:
=> Kwenye maguest house
=> Kwenye migahawa ya chakula
=> Kwenye ma bar na kumbi za muziki
=> Sokoni au maeneo ya gulioni
=> Kwenye...
Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani?
Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
Kabla jua halijazama niseme hili;
Ukitaka kutambua jamii Fulani inajitambua, basi tembelea Maeneo Yafuatayo;
1. Makazi Yao.
Makazi Yao yapo kwenye mpangilio. Kuna miti ya kutosha ya hewa, Bustani na Maua yakupendeza.
Kuna sehemu maalumu za kuhifadhia taka, pia Choo kipo cha kiungwana.
Makazi...
Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi.
Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya.
UPDATE:
1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...
Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna.
Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi.
Asante.
Habari Wakuu.
Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti.
Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2).
Mwenye kujua...
Kwa heshima kabisa naomba kuleta malalamiko yetu katika jukwaa hili kubwa la Jf.
Hivi sasa kisiwani Unguja kumekua na kasi kubwa ya ujenzi wa Majengo mbali mbali. Ni jambo la heri na jambo la kupongezwa na kwa hakika tunamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu .
Jambo lilonifanya kuleta bandiko...
Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.