Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments.
Nitashukuru kwa michango yenu.
Note...
Machinga niliowaona hapa ni zaidi ya watu elfu tano hii ni wilaya moja tu hivi tunakwenda wapi kama taifa idadi kubwa.
Je, Tanzania nzima machinga wangapi? Tuna ardhi nzuri, mito na maziwa nini kifanyike nani wakulaumiwa. Je, wananchi wanashindwa kuzitumia fursa huko zilizopo ama ni serikali...
Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo.
Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
Habari wakuu. Kama kisomekavyo kichwa cha habari, binafsi nimeanzisha shughuli ya kutangaza utamaduni na maisha ya Tanzania nikitia ndani vivutio vyote, watu na kila kitu.
Kwa sasa nimekumbana na changamoto nyingi ikiwemo kuzuiwa kupata picha za mnato kwenye baadhi ya maeneo ambapo kwa macho...
China imetoa waraka muhimu wa kisiasa unaojulikana kama “Waraka Na. 1 wa serikali kuu” wa mwaka 2023, ambapo nchi hii imesisitiza lengo lake la kusukuma kwa pande zote ufufukaji wa vijijini kwa kuunganisha juhudi za Chama cha Kikomunisti cha China na jamii nzima, na pia kuongeza kasi ya kutimiza...
Tuanze na Kenya maana huko ndo kunatisha kabisa.Kenya imeweza kufika mbali kimaendeleo kwenye mambo mengi ila cha kuchekesha maendeleo hayo yapo sehemu chache sana.
Kuna sehemu kaunti za Kenya hata waziri wa mambo ya ndani ajui kinachoendelea kufikia vikundi vinamiliki silaha za kisasa...
Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake.
Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu.
Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China.
Ukifika...
Wizi umezidi maeneo ya beach hasa silver beach iliyopo karibu na kunduchi beach
matukio ya wizi hasa maeneo ya beach yamekuwa ni kama jambo la kawaida, siku ya leo nikiwa katika fukwe za beach jiranj kabisa na beach ya kunduchi kuna eneo linaitwa silver beach pia kuna hotel inaitwa silver...
Nimefanya utafiti mdogo kuhusu Sababu za kuongezeka Kwa wageni wanaofanya kazi nchini kinyume cha sheria na mbinu za ukwepaji Kodi wanazotumia nikadhani sheria zetu ni rafiki Sana Kwa wafanyabiashara wakubwa kukwepa Kodi nchini.
Nimesoma sheria ya za Uhamiaji nikashtuka kubaini kwamba kampuni...
Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa.
Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
Tuliozaliwa Dar ndio tunajua eneo fulani ukipenda huko kubari matokeo yake au majibu yake.
Watu wengi wanakuja dar na kujikuta wameingia kwenye mahusiano na wenyeji au wakuja waliozoea.
leo tunabaki kusema mikoa na makabila ila tuje Dar na wananchi wake:
Kinondoni
Hapa mapenzi kila mtu mjuaji...
Jinsi tunavyoiona dunia na kuitendea inategemea sana taarifa tulizo nazo. Hii ndiyo sababu uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari ni haki za kimsingi, na mtiririko huru wa mawazo ni kichocheo kikuu cha maendeleo jamii na ustawi wa binadamu.
Hata hivyo, uhuru wa mawazo na...
Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana.
Ni...
Wakubali kuachia mkoa wote wa Kaskazini mwa Kivu, kama tulivyosema amani DRC ni kwa hiari au shari lakini lazima ipatikane, hamna taifa ndani ya EAC litaruhusiwa kuwa na mavita vita ndani.
======
Leaders of the M23 rebel group met with regional peace facilitator, former Kenyan President Uhuru...
Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao.
Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.