maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi wa Mwanza walalamikia kuondolewa kwenye maeneo bila kulipwa fidia na kuuzwa kwa Vigogo wa Serikali

    Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
  2. Ukipanga maeneo haya Dar sahau kufanikiwa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Ukipanga haya maeneo dar ni uswazi kupindukia ukila vizuri au ukiwa ni mtu wa kuvaa vizuri sana lazima watu wakuwekee vikao. Tandika Buguruni Mbagala Gongo la mboto Buza kwa mpalange Mwananyamala Niliwahi kuishi Tandika nyumba tofauti tofauti, kipindi...
  3. Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kwema Wadau! Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi. Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
  4. Utafutaji wa kura maeneo kame, Kenya unavyochochea mgogoro wa Loliondo

    Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao. Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
  5. H

    Tutakosa watu wa kuajiriwa maeneo muhimu na nyeti

    Ndugu Watanzania wenzangu, wakati tuko busy kama taifa na shughuli za kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali, alama ya taa nyekundu ilishawaka kwenye familia, jamii na taifa letu. Kwa kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana kuingia kwenye uasherati wa kinyume na maumbile ni bomu na janga...
  6. Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha...
  7. Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

    Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala. Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
  8. Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto. Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea. Zima moto na gari lao wapo ila...
  9. Ujenzi wa barabara na reli viende sambamba na uchumi wa maeneo

    Kama barabara hizi hazitatumika kusafirisha mazao, mifugo na bidhaa kwenda na kutoka zinakopita zitatumiwa na wananchi kusafirisha vyuma vya madaraja na alama za barabarani vya barabara hizo vilivyokatwa na kung'olewa na wananchi kwenda kuuza na kujipatia fedha ya kujikimu. Tunapomimina hela za...
  10. D

    TANROADS na TRC wekeni matuta kwenye makutano ya barabara na njia za treni; Alama na ishara hazitoshi maeneo hayo

    Ile kanuni ya treni kwamba huwa haigongi bali hugongwa haikuwa na maana hii kama inavyoelezwa na wengi! Kama ni sheria au kanuni Basi waliopitisha hawakufikilia vizuri! Treni haigongi porini lakini linapokuja suala la muingiliano wa njia za treni na barabara treni inaweza kugonga! Kwasababu...
  11. Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

    Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi. 1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke. 2...
  12. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  13. Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  14. Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena atoa angalizo kwa wananchi wanaovamia maeneo ya Jeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ametoa wito wananchi kuacha kuvamia maeneo ya jeshi na kuweka makazi kwa kuwa ni hatari kwa usalama kwao na nchi kwa jumla. “Ili Jeshi liweze kutekeleza majukumu yake linahitaji maeneo, na maeneo hayo yanakuwa ni ya...
  15. Wizara ya Mazingira, NEMC, anzisheni kampeni ya kupanda miti kutumia teknolojia ya "Air Pots" kuinusuru nchi na jangwa linalotunyemelea

    Air Pots ni Vyungu (Container) maalumu vya kupandia mimea mbalimbali ambavyo huwekewa vishimo vidogovidogo kuzunguka chungu, lengo ikiwa ni kuruhusu mizizi ya mimea kuweza kutafuta mwanga na hewa. Teknolojia hii huwezesha Mmea kukua bila kipangamizi na hata kufikia ukubwa wa kutosha kama...
  16. Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  17. B

    Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

    JF, Kwa kweli nimekuwa nikipata shida sana kuona mbuzi Hawa wanazagaa barabarani hovyo wakati Sheria za kutunza wanyama zipo wazi. Je wale ni wa Serikali au? Kwasababu najua kabisa wangekuwa wa mtu binafsi wangeshakamatwa zamani na kutozwa faini. Nani au Mamlaka gani ya Serikali inawajibika...
  18. K

    Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

    Ipo hivi. Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio...
  19. Luhaga Mpina ataka maeneo ya kiuchumi yatungiwe sheria

    Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali (a) Mheshimiwa Spika, Biashara za Machinga, Bodaboda, Mama Ntilie, Wauza mbogamboga kundi hili liko kwenye hekaheka kila leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…