mafanikio

  1. L

    Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

    Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia...
  2. M

    Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

    Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
  3. Vilabu 49 vyenye mafanikio Afrika 2022, CECAFA zipo mbili tu

    Al Ahly Egypt (Makombe 24) Vikombe vya klabu bingwa Africa 10 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 4 Kombe la shirikisho 1 Super cup 8 Afro-asian cup 1 Zamalek Egypt (Makombe 13) Vikombe vya klabu bingwa Africa 5 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 1 Kombe la shirikisho 1 Super cup 4 Afro-asian...
  4. L

    Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa...
  5. Code alizonipa mzungu zimenisaidia kuona mwanga wa mafanikio yangu na familia yangu hapo baadaye

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini. Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
  6. Katika vipindi vya mafanikio ndiyo unabidi kuhakikisha hausaidii mtu ili kulinda ukwasi wako

    Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi. Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze...
  7. Huyu ndiyo mchezaji anayebeba nyota ya mafanikio ya Yanga

    Katika ulimwengu wa roho kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea ni kitu kimoja tu nacho ni "Ini". Ndiyo, ini ndiyo kitu pekee kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea (katika ulimwengu wa roho). Maana yake ni kwamba, kama kuna kiumbe ambacho kwa muonekano wa nje kina sifa zote za kuwekwa...
  8. Mambo yako ya kuweka siri

    1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote. 2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako. 3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako. 4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa. 5. Kamwe usitangaze jinsi ulivyoelimika. 6. Usizungumze kuhusu akaunti yako ya benki na salio. 7...
  9. Mradi Wenye Mafanikio Hutimiza Matarajio ya Mnufaika

    Katika utekelezaji wa miradi, wakati mwingine mteja (client/beneficiary) hutarajia huduma zenye ubora wa kiwango fulani/mtindo fulani tofauti na uwezo wetu katika kuzalisha. Hali hii kwa kiasi kikubwa imekuwa ikipelekea miradi mingi kutokufanya vizuri, na hii ni kwa sababu, KUMRIDHISHA MTEJA...
  10. Kama mafanikio ya Taifa la Israel kwa sasa kunasababishwa na utukufu wao, Je kipindi walichokuwa wanafeli tuhesabu vipi?

    Habari za muda huu wana JF. Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya hoja zinazotumika; Amezungukwa na maadui pande zote lakini hawamuwezi kila mipango yao...
  11. L

    Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  12. L

    “VBA”mkoani Guizhou yaonesha mafanikio ya kupunguza umaskini vijijini nchini China

    Katika msimu wa joto uliopita, mashindano ya mpira wa kikapu ya vijijini katika wilaya ya Taijiang mkoani Guizhou, China yalivutia macho sana. Ingawa hakuna nyota na ufadhili wa kibiashara, mashindano hayo yaliyofanyika milimani si kama tu yamewashangza watazamaji wenyeji, bali pia yamefuatiliwa...
  13. Namshukuru Mungu, haya ndiyo mafanikio makubwa kabisa niliyoyapata mwaka huu

    Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika. Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako. Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto...
  14. Kuna Timu mafanikio yake ya Kipekee CAFCL yatakuwa ni Kufurahia Mechi yao Kuonyesha 'Live' nchini Sudan

    Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga? Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona...
  15. Pesa pekee haileti mafanikio ya timu, mbinu za kocha pia zinahitajika

    Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni. Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
  16. Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu tulivyopewa bure tunavitoa Bure. Wala usinipe sifa yoyote Kwa maana sistahili sifa. Wala usinishukuru Bali...
  17. Kuna tatizo lolote kupenda vitabu 'vinavyohubiri' mafanikio?

    Kwa sasa kumekuwa na mlipuko mkubwa wa kusoma vitabu hivi vya mafanikio na miongozo binafsi(self-help books). Usomaji wowote ule ni mzuri kuliko kutosoma kabisa. Hivyo usomaji wa vitabu hivi ni jambo zuri. Lakini ni kama mlipuko hivi, kila kona kila site kila sehemu watu wanazungumzia vitabu...
  18. Aina ya watu unaopaswa kuwaepuka kwenye maisha yako. Hawa ni sumu ya mafanikio yako.

    Kuna watu wako maalum KUUA NDOTO YAKO(Dream killer) , Ni aina ya watu wabaya ambao kazi yao ni kuhakikisha wewe hufanyi kitu na hufanikiwi kutimiza ndoto yako. - Ni watu gani? - 1.Mtu mwenye imani ndogo. Huyu ni mtu anaamini katika udogo, haamini kama unaweza kuwa na biashara kubwa, haamini kama...
  19. Pensheni na kikokotoo: Usichokijua kuhusu uzuri wa kikokotoo, kwa mafanikio na bata la uzeeni

    Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga. Majanga ni vitu vyoote vinavyoweza kuondoa au kupunguza uwezo wa mtu kuzalisha. Moja ya janga kubwa ni UZEE.Tunaliita ni janga kwasababu tunaamini huna uwezo wa kuzalisha na kuchangia kiuchumi kama...
  20. Mafanikio: Ipi bora, kughairi ama kuendelea kukomaa na mradi wako?

    Kuna vitu sivielewi, wengine wanasema ukiona project haiendi vizuri baada ya miaka kadhaa achana nayo fanya ishu zingine, wanaita upepo umekata. Wengine wanasema biashara ama mradi wowote unatakiwa ukomae mwazo mwisho ndo utaona mafanikio. Let say mtu kaajiriwa anaamua kugairi kazi baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…