Kutokana na maendeleo ya dunia ya leo ya sayansi na teknolojia vijana wengi wanatamani kupata mafanikio ya haraka pasipo kufanya kazi kwa bidii hii hupelekea ongezeko kubwa la vijana kutegemea michezo ya kubashiri maarufu kama kubet na wengine kujiingiza katika vitendo vya kihalifu ili kuweza...
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae
Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀
Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
1. Kuwa na nidhamu binafsi.
Ili kupata mafanikio makubwa unayoyahitaji sio suala la kufanya kazi kwa bidii tu, zaidi unachohitaji nikuwa na nidhamu binafsi ambayo itakuongoza kwenye malengo yako. Watu wengi hawana nidhamu binafsi kitu ambacho kinapelekea wengi ndoto zao zinaishia kati. Ni muhimu...
Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na mafanikio katika maisha vimekuwa vitu viwili tofauti kabisa. Ni kama mtu aliyeko kusini akiitafuta...
UCHUMI
Ili uchumi wetu uweze kupanda serikali lazima ipambane kuongeza thamani ya shilingi yetu kitaifa pamoja na kimataifa. Thamani ya shilingi yetu ni ndogo sana kulinganisha na fedha yingine hasa za kigeni na hii imekuwa sababu kubwa sana ya kushuka kiuchumi siku hadi siku mfano dola moja ya...
Ni mazungumzo ya vijana wawili wanao fahamiana...ni uwanjani katika mchezo wa soka pale kitaa cha Tabata. Jioni hiyo niliamua kwenda kucheki mazoezi ya mpira kwani kiwanja Hicho hakipo mbali Sana na ninapoishi.
Na haya ndio mazungumzo Yao:
Kijana wa Kwanza '' Kaka hiyo fani yako ya umeme vipi...
Ama kweli unanipenda sana, ama kweli unaniwaza sana, ama kweli unanitafuta sana lakini unawaza mbona hunipati? Nimeamua kutoka mafichoni unapo nitafuta nikujie kwa maana kiu yako ni kubwa sana.
Baada ya kuona jitihada zako, leo nimependa nikueleze ukweli wote kwa maana unanipeda sana. Unapenda...
Salaam Wakuu, awali ya yote ningependa kuipongeza J.F kwa mpango huu kabambe.. bila kupoteza muda nizame moja kwa moja kwenye mada tajwa apo juu. MAFANIKIO yanaweza kuwa na maana tofauti kwa watu tofauti japo kiuhalisia jamii inatumia kipimo cha mali/fedha kama mzani wa mafanikio.
Kuna maana...
Mjaluo lupita amechukua tuzo Kubwa has filamu OSCAR, Mjaluo Obama Ana Nobel mjaluo Divork origi Alichukua uefa akiwa no Liverpool pia alichezea Belgium world cup 2014
Waznzibar wapo milioni na nusu hivi lakini mziki wao haukamatiki kwa % ya waliofanikiwa. Percentagewise ukiwaweka wazanzibari waliofanikiwa kwenye idadi ya wazanzibari wote, unapata asilimia kubwa kuzidi kabila au jamii yoyote hapa Tanzania bara.
- Kibiashara wapo juu, pesa wanazichapisha...
Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa.
Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
Definition ya mafanikio ni kubwa sana, inategemea na mtu anaonaje mafanikio lakini uhalisia unabaki kuwa mafanikio ni pesa/umiliki wa mali.
Nimekaa sehemu nikaona vijana wanatembeza muha wanakata vipande 100/200 nikaingia kwenye tafakuri nzito kidogo.
Muhubiri 9:11
Nikarudi nikaona chini ya...
Ndipo nilipokaa chini pembezoni kidogo na ukingo wa kitanda changu nikiwa nimegubikwa na shauku kubwa ya mafanikio. Kama Kijana mdogo nijuaye kwa hakika na dhairi shairi kua Maisha haya ni duara, hivyo nisimame imara kuligombania Kombe na kuanzisha safari yangu ya Mafanikio. Nikijua...
Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine. Hii ni kutokana na kuwa Rusia imekuwa ikipoteza wanajeshi kwa wingi.
Kwasasa Rusia anataka...
Je una tatizo? hilo ni jambojema!.
Je una tatizo? Na ni jambo jema kwanini?
Kwasababu utatuzi wa matatizo yako unakuletea mafanikio makubwa katika maisha yako.
Kila mmoja wetu ana matatizo ndo maana kila kitu katika ulimwengu kipo katika hali ya kubadilika.Kitu cha muhimu ni kwamba, mafanikio...
"Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"!
Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake.
Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya kiuchumi wakiamini wao sio watu wa kaliba hiyo nakuamini waliofika hatua hizo ni watu baadhi tu...
Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo.
Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii.
Boss wao aliwapa task ambayo...
Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora!
Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
UTANGULIZI
NDOTO NI NINI?
Ndoto ni taaswira, mawazo, tamaa au hisia ambazo zinapita katika akili yako. Mara nyingi Sana ndoto ni kitu unachoweza kukitengeneza katika taaswira yako kulingana na malengo yako ya baadae. Ndoto ni kitu unachokitamania kukitimiza siku moja katika maisha yako. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.