mafanikio

  1. Dr Msaka Habari

    NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  2. travelme2014

    SoC02 Mafanikio kwenye ulimwengu wa kisasa

    MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea upande mwingine wa dunia. Kulikuwa na changamoto kubwa ya kupata tiba, usafiri, mawasiliano, nishati...
  3. Frumence M Kyauke

    Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
  4. Cannabis

    Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  5. Godwin Nyalusi

    SoC02 Uvumilivu ni silaha ya mafanikio katika maisha

    Habari wanajamii. Natumaini nyote mu wazima. Kwa majina naitwa Godwin Nyalusi. Leo hii nimechukua hii fursa na nafasi niliyoipata kuwajuza na kuwashirikisha kile nilicho nacho. Ni maisha yangu ya kweli kabisa na wala sio stori ya kutunga au kubuni. Godwin ni kijana aliyezaliwa mnamo tarehe...
  6. musicarlito

    Unawakumbuka ndugu, rafiki na wote waliokusaidia au kuchangia mafanikio yako?

    Wengi mpaka hapa tulipo leo kwenye maofisi yaliyo kwenye floor ya ngapi sijui nini tower...kuna watu a tulishirikiana au walitusaidia kama si fedha basi hata ule mchango wa mawazo lakini na kampani kiaina kuwa na amani Wengine ilivyompendeza Mungu ni tumewaacha vijijini...wengine bado...
  7. T

    Pape Ousmane Sakho (POS) usilewe mafanikio ya kiatu cha goli bora, bado una safari ndefu

    Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy: Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa Italy kupitia Azam max, niseme tu pongezi ziwaendee Azam kwa kutuwezesha diasporas tulioko huku...
  8. D

    SoC02 Maandalizi yako, mafanikio yako

    MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia mafanikio na maisha ya milele katika kumbukumbu za vizazi na vizazi. Maandalizi ni mchakato wa...
  9. Robert S Gulenga

    Mnaobeza mafanikio ya Awamu ya Sita, zungukeni Tanzania muone mafanikio ya Serikali ya Rais Samia katika utekelezaji wa miundombinu

    Kuna watu kazi yao wamekuwa ni kupinga na kubeza mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluh Hassan, yawezekana wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni kikatiba au wameamua kupinga kwa sababu kazi yao ni kupinga bila kutambua hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii tunayoishi...
  10. F

    SoC02 Moyo wako; Siri ya mafanikio yako

    Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya. Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni kusikiliza kile moyo wako unachohitaji. Wengi wamejuta kwenye maisha kwa kufanya mambo ambayo yalikuwa...
  11. H

    MJADALA: Mafanikio kibiashara bila uchawi haiwezekani?

    "Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu" Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ... Mangi anae msukule ndani unaodondosha udenda ambao ni hela... Mpemba anayo majini ... Hizi ni baadhi ya kauli tinazokumbana nazo...
  12. D

    SoC02 Uchumi: Siri ya mafanikio ya kudumu

    Siri ya Mafanikio ya Kudumu Maisha ni vita. Hasa wakati uchumi ndio hoja kuu. Hivyo ni muhimu kuwa na nyenzo za ushindi. Nyenzo kuu itakayo kupa nafasi ya kupata ushindi, tena wa kudumu, ni kujitambua. Mapambano ya maisha ni endelevu na yenye kubadilika mara kwa mara. Kwa wale wanao jitambua...
  13. I

    SoC02 "Ulevi" wa mafanikio ya baba na madhara yake kwenye uwajibikaji wa familia

    Imeandikwa na : IDRISSOU02 Mdau wa JF. Picha na Sema Tanzania Hakika kila mtu anatamani mafanikio. Hata yule mtu mwenye mafanikio tiari, bado anatamani awe na mafanikio zaidi. Kutamani maisha yaliyo bora zaidi ndio kichochezi kikubwa kinachofanya...
  14. MamaSamia2025

    Ewe Msanii/Kijana wa kitanzania sahau kuhusu mafanikio endapo huna nidhamu

    Nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa (CCM). Leo nimeamua niandike kuhusu suala zima la nidhamu kwa wasanii wetu pamoja na vijana wote wa kitanzania. Vilio ni vingi kuhusu hali ngumu ya maisha huku wanaofanikiwa wakiwa wachache. Sababu ni nyingi sana ila mimi nitajikita kwenye kitu kinaitwa...
  15. CM 1774858

    Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

    Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali, == Mhe Joanfaith akiwa...
  16. Ibojr

    SoC02 Mafanikio

    MAFANIKIO KAMA ilivyo ada kila mtu anahitaji kuwa na mafanikio katika maisha yake. Vivyohivyo hata mimi ninatamani kuwa miongoni mwao. Swali la kujiuliza ni kwanini tuliowengi hatufanikiwi na wachache kati yetu ndio hufanikiwa? Inakupasa kujiuliza kwa makini nini ufanye ili na wewe ufanikiwe...
  17. Mnyakyusa5000

    Si bidii wala juhudi ziletazo mafanikio

    Tumefundishwa vibaya. Tangu tukiwa watoto tumeambiwa kufanya kazi kwa bidii huleta mafanikio. Tumehakikishiwa kuwa hakuna njia nyingine isipokuwa hii. Sasa tumekua. Tumeingia katika shughuli za uzalishaji na mahusiano. Mambo haya mawili yaani uzalishaji mali na mahusiano yamekuwa mzigo mzito...
  18. Expensive life

    Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  19. B

    Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  20. Poker

    Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

    Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri. Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza. Na huenda akawa msanii wa...
Back
Top Bottom