mafanikio

  1. Restless Hustler

    Ni Nani aliyelimdanganya kijana wa Kitanzania kwamba Serikali ina wajibu wa kumletea mafanikio ya Kiuchumi?!

    Nitangaze mapema kwamba 1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi 2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote. Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
  2. Aliko Musa

    Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  3. Aliko Musa

    Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  4. M

    Kwa mambo yote haya, Rais Samia hapendi mapambio

    Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa Rais samia miezi 9 unazidi uwekezaji wa miaka 4 iliyopita huyu Mama hana sifa ya kujikosha na...
  5. Mchapakazihalisi

    Hakuna uongozi wa mtu mmoja, tushikamane kwa mafanikio ya Wizara

    Na Prisca Ulomi, WHMTH, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya Wizara ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika...
  6. Binadamu Mtakatifu

    Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

    Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
  7. J

    ACP Mukadamu: Utaratibu wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa, tunaweza kuueneza nchi nzima

    ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma. Afande Mukadamu amesema utaratibu huu unaweza kufanywa kwa nchi nzima ili kuwanusuru...
  8. Poker

    Mwanamke mrembo na mwenye mafanikio Afrika Mashariki na Kati

    Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama mwanamke mrembo zaidi kuwahi kutokea kwa africa mashariki na kati, ambapo inaaminika afrika mashariki...
  9. M

    Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  10. C

    Sikiliza clip hii ili ujue a.k.a ya nyoka aliyemdanganya Adamu kule eden

    Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu. Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa? Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
  11. Masokotz

    Ukitaka Fursa ni lazima uwe Fursa

    Ukiitiwa Fursa Ujue wewe ni Fursa. Je umewahi kuitiwa Fursa?Je umewahi kujiuliza kama ni fursa kweli kwa nini haitumii mwenyewe?Je umekuwa mtu wa wasi kila mara unapoona fursa na kuhisi kuwa unapoteza?Kama jibu ni Ndio Basi hauko peke yako.Wako wengi sana ambao wamejikuta katika mtego huo ni...
  12. Ngaliwe

    Mafanikio ya Rais Samia kuelekea 2025, Roma locuta, causa finita!

    KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
  13. Ngaliwe

    Rais Samia na mafanikio ya UNGA

    Ilisema huko na zamani na wa wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts,” kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyokuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa...
  14. Travis Walker

    The one thing - Mafanikio ya kila kitu

    Habari, natumai ni wazima nyote. Mimepamiss hapa Jamii Forums kwasababu nina muda mrefu sija post chochote na inatokana na maisha na ubize ila sio shida leo nimekuja na kanuni ya "The one thing". Hivi karibuni nimesoma kitabu kinaitwa hivyo "The one thing". Waandishi ni "Gary Keller" na "Jay...
  15. Idugunde

    Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  16. Makirita Amani

    Uchambuzi wa kitabu: The Third Door (Jinsi watu waliofanikiwa sana walivyoanza safari zao za mafanikio)

    Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu kinachoitwa The third door : the wild quest to uncover how the world’s most successful people launched their careers ambacho kimeandikwa na Alex Banayan. Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanayofanya kwa lengo la kujua kule...
  17. B

    Zanzibar Wanapopaa ijue Siri ya Mafanikio yao

    Tofautisha au hata fananisha pande mbili hizi za Muungano. Yanayojiri Zanzibar ni kama hivi: Yanayojiri Bara ni haya hapa: Si hayo tu bali hata yale ya 21% ya ajira JMT ni mahsusi kwa Zanzibar. Ama kweli Zanzibar kumewiva: Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli...
  18. Ramsy Dalai Lama

    Kwanini Xavi ni mtu sahihi ataipa mafanikio Barcelona

    Kwanza kwa kuanzia tu, ni kwamba tukija upande wa "kiufundi" ningesema sifa tatu muhimu kwenye mpira ni: intelligence, communication, and discipline. Inafahamika kuwa Xavi ni mchezaji mwenye akili, bila shaka ni mmoja wa wachezaji wenye akili sana ndani ya uwanja. Yeye si mchezaji mwenye kipawa...
  19. BabaMorgan

    Licha ya mafanikio aliyoyapata Avcii nini kilimpelekea kujiua (suicide)?

    Majina yake halisi ni Tim Bergling amezaliwa septemba 8 mwaka 1989 Stockholm Sweden anafahamika zaidi kwa jina la Avcii alikuwa mkali wa EDM (Electronic Dance Music). Amefariki tarehe 20 Aprili mwaka 2018 Muscat nchini Oman chanzo cha kifo kujiua(suicide). Alitengeneza Hits nyingi...
  20. Wizara ya Afya Tanzania

    Mafanikio ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
Back
Top Bottom