mafanikio

  1. Mr Dudumizi

    Tujikumbushe mechi zetu za utotoni, timu tulizochezea na mafanikio tuliyoziletea

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya kuwajulia hali, ningepeenda niende moja kwa moja kwenye mada iliyonileta hapa. Bila shaka asilimia kubwa ya vijana tuliozaliwa na kukulia Dar es Salaam miaka ya 90, tuliwahi kucheza au kupitia michezo mbali mbali kama vile karate, ngumi, soka (mpira) na michezo...
  2. J

    Bashe aeleza mafanikio kupitia uanzishwaji wa vituo vipya vya umahiri kwenye kilimo

    Arusha, Tanzania. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameeleza mafanikio yatakayopatikana kutokana na kufunguliwa Kwa vituo vipya vitano vya umahiri kwenye mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ambavyo vimefadhiliwa na shirika la Maendeleo la Umoja wa mataifa yaani UNDP. Naibu Waziri Bashe...
  3. Lord denning

    Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

    Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu! Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
  4. M

    Bila furaha hakuna ubunifu wala mafanikio

    Siku moja kundi la watu 50 walikuwa wakihudhuria semina moja. Ghafla mwezeshaji akaacha kufundisha na kutoa zoezi ambalo walitakiwa kulifanya kwenye makundi aliyoyagawa. Baada ya hapo akampa kila mtu puto na kumwambia alipulize lijae hewa na kuliandika jina lake kisha wakayakusanya na kuyaweka...
  5. Kinuju

    Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

    Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya. Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii, Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa...
  6. Mr Dudumizi

    Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
  7. Carlos The Jackal

    Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  8. Makirita Amani

    Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Unayataka mafanikio makubwa ndiyo maana unasoma hapa. Hongera sana kwa hilo. Lakini kuna habari ambazo siyo nzuri sana kwenye hiyo safari uliyochagua. Takwimu za mafanikio zinatisha na kusikitisha. Wanaoyataka mafanikio ni wengi, lakini wanaoyapata mafanikio hayo ni...
  9. Makirita Amani

    Kitabu Kipya: Mwongozo wa Maisha ya Mafanikio

    Rafiki yangu mpendwa, Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata. Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka. Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
  10. Erythrocyte

    Nguvu kubwa inayotumiwa na Polisi kuwadhibiti BAWACHA bila mafanikio ni kuipaisha taasisi hiyo

    Ile Taasisi bora ya akina mama barani Africa, na ambayo inatajwa kushika namba 3 kwa ubora duniani kwa sasa, BAWACHA, Imeishika Nchi kwa kiganja kimoja cha mkono wa kushoto. Pamoja na kwamba Bawacha ni Taasisi ya wanawake, lakini nguvu kubwa inayotumiwa na Jeshi la Polisi kuwadhibiti bila...
  11. emmarki

    Hivi kuna uhusiano wowote kwenye kusafisha nyota na mafanikio

    wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
  12. F

    SoC01 Uthubutu ni Silaha ya Mafanikio

    Nyanja: Maendeleo ya Jamii Mark Zuckerberg mmiliki wa FB Taswira kwa hisani ya Google Utangulizi Tabia ya uthubutu haikuumbiwa waoga wala wenye soni bali wajasiri...
  13. Hivi punde

    Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa maskini wa kutupwa

    "Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)...
  14. N

    SoC01 Siri ya mafanikio katika maisha ya binadamu

    SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi'' Angalia maisha yako. Je, kuna maeneo katika maisha yako hayakufurahishi? Maisha yako ni wajibu wako...
  15. Elly Twix

    SoC01 Mafanikio yapo mikononi mwako

    Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wanaoishia njiani? Kwa nini baadhi ya wajasiriamali wanaanza biashara ndogo na baadae itakuwa na kuwa...
  16. U

    Ndoa na Mafanikio

    UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea upweke na kuwatunukia utulivu, faraja, huruma, mapenzi, upendo na ushirikiano. Kutokana na...
  17. U

    Vikwazo na Mafanikio

    KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI. Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa. Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki. JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO? Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
  18. U

    Tabia ni Mafanikio

    KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI. Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa. Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki. JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO? Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
  19. Bonnie99

    SoC01 Maumivu ni chanzo cha mafanikio yako

    Katika maisha kuna changamoto nyingi sana ambazo zinakuja katika maisha ya mwanadamu ili kukupa uwezo kamili wa kusonga mbele ili kuzifikia ndoto zako Lakini kuna wakati ambao changamoto hizi hufikia hatua ya kukupa maumivu makali sana pale ambapo unaona zinasababishwa na watu wa karibu ambao...
  20. Lord denning

    Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
Back
Top Bottom