Kilimo ni ukombozi, japokuwa kwa nchi yetu kinaonekana ni kazi ya walala hoi, isiyo na thamani na inayowahusu watu masikini. Kwa kupitia uzoefu mdogo nilioupata kwenye kilimo, ninadiriki kusema kuwa, kilimo ni fursa, kilimo ni ukombozi, kilimo ni mafanikio kwa watu na nchi. Ni jambo la kawaida...
Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye haya maisha ni labda utajipanga ili uweze kupata kile unachotaka au utapagwa na wengine uwasaidie kupata kile wanachotaka.
Ni uchague kupambana kufikia kusudi na ndoto zako, au wengine wakutumie wewe kufikia kusudi na ndoto walizonazo.
Hivyo ndivyo maisha yalivyo...
Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")...
Wengi huombea wenzao...
Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri.
Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
Wakati mwingine tunaweza kupoteza njia zetu katika maisha na kujiuliza ni kuhusu nini yote hayo. Tunaweza kuzama katika hali na uhusiano ambao hayatimizi mahitaji yetu na kufanya tusihisi furaha, kufanya kazi katika ajira ambazo hufanya tutumaini sana kulisikia kengele ya saa ya juma katika...
Nchi nzima kama sio dunia nzima kwa sasa kilio kikubwa ni vijana kudai hawana "connections" za kupata malisho mazuri. Connections za ajira, biashara au hata ufadhili wa masomo. Mimi nimejitolea kuwakumbusha vijana mambo kadhaa ya muhimu ili kujiweka kwenye mazingira ya kushikwa mkono na...
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.
Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu...
Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
Ukiona maisha yako hayaeleweki eleweki, kupata milo miwili au mitatu ni shida, juwa una mapungufu katika hivi vitu vitatu:-
Uaminifu
Kujituma
Unaona aibu
Wapo watu wengi wana mitaji midogo midogo na mikubwa, ila wanakosa watu wa kusimamia shughuli zao, kwa sababu vijana wengi wana ona aibu kwa...
Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya.
Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA
Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA?
MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza.
Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa.
Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi)
Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri.
Sasa...
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki.
Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo.
USIONE...
Rafiki yangu mpendwa,
Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama.
Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency)
Hivyo utofauti wa aliyeshindwa...
Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia
Na Alpha Isaya Nuhu
Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.