mafanikio

  1. Kaka yake shetani

    Wazo, maarifa, maono, uthubutu na mafanikio unageuka kuwa chuki mbele ya wanaokuzunguka

    Hapa tanzania kuna kasoro inaweza kuwa ni vinasaba yetu tuliyopewa na Mungu ukilinganisha na mataifa mengine na tabia zao. Kwa nini watu wenye maono, wazo, maarifa, uthubutu na mafanikio yakijitokeza basi nafsi zetu zinabadilika na kuanza kumchukia gafla bila sababu. pili tabia zetu tunaweza...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Mafanikio ya TUCTA ni kugawa Tshirt, utendaji ni hopeless

    Kesho ni Mai Mosi ambapo kimsingi unategemea kusikia maazimio mazito kutoka kwa TUCTA juu ya mambo ya msingi katika kusimamia maslami mapana ya wanachama wake. Wanachama wao wamekuwa na changamoto kadhaa zisizo patiwa majibu na serikali. Moja ya kilio kikubwa ikiwa na kikokotoo cha kifisadi...
  3. mwehu ndama

    Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
  4. Majok majok

    Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa! Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya...
  5. Dr Matola PhD

    Kwa mafanikio inayopata Simba Mangungu anafaa sana Simba, asibughuziwe. Tujihepushe na maadui wa Simba.

    Simba ndio timu pekee Tanzania mpaka sasa yenye mafanikio na vikombe kabatini. Sasa kelele za Mangungu na Try again zinatoka wapi? Ukisikia hatumtaki Mangungu na Try again basi ujuwe hao ni Yanga. Wana Simba tushikamane na viongozi wetu hawa ni lulu, jana Saido Mchezaji bora, Lakredi kipa...
  6. S

    Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

    Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
  7. Eli Cohen

    Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Attack Attack Attack
  8. Lycaon pictus

    Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
  9. L

    Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  10. Eli Cohen

    Kama umeshapita kwa wachungaji na waganga ukiambatanisha sadaka lukuki bila mafanikio, inaweza kuwa wewe binafsi ndio msaada wako mwenyewe

    Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo. Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
  11. GENTAMYCINE

    Diamond umemsifia Rais Samia kwa Mafanikio yaliyotoka kwa Magufuli

    Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
  12. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  13. Top gun maverick

    Hivi kwanini sisi binadamu tukipata mafanikio kidogo tunavimba sana?

    Habari za asubuhi wana JF poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi. Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu, kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko...
  14. Kichwa Kichafu

    Wana-Young Africans siku hizi hatuongei sana, mafanikio yetu ndio yanaongea

    Habari. Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla. Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora Na Mafanikio Yanayofanywa Na Mabingwa Young Africans Yamekuwa Yakijieleza Yenyewe Moja Kwa Moja...
  15. Pfizer

    Ridhiwan Kikwete: Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu

    Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu-Kikwete (MB) Maneno hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete alipokuwa anaongea na Viongozi wa Chama wa Halmashauri ya Chalinze alipowaalika kwenye Futari...
  16. Kaka yake shetani

    Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya...
  17. Mjanja M1

    Ficha mafanikio yako

    -Umenunua ndinga mpya, kaa kimya -Umenunua nyumba mpya, kaa kimya -Umepata pisi mpya, kaa kimya -Amepata mimba, umepata kaa kimya -Umepata promotion, kaa kimya Watu wako wa karibu hawapendi maendeleo yako,Wanapenda kuona unateseka na kutaka msaada. Ficha mafanikio yako.
  18. Konseli Mkuu Andrew

    Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  19. covid 19

    Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  20. R

    Bi. Christine Mwakatobe alifeli kuendesha KADCO, Je, tutegemee mafanikio AICC? Au maisha ni bahati?

    KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati? Soma: - Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
Back
Top Bottom