Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila...
Karibu ofisini kwetu ujipatie Accessories na Aluminium Kwa bei ya kiwandani.
Bei zetu ni rafiki sana , Kwa DSM ukinunua mzigo utapata free delivery na Kwa mikoani ukinunua mzigo tutaupeleka hadi kwa transporter wako.
Kuhusu bei huwa zinapanda na kushuka hivyo ukitupigia tutakupa bei ambazo...
Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika.
Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini?
At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
Habarini wakuu,
Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:-
1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
Tunahitaji MAFUNDI wa Kushona CHEREHANI
1. Sifa za Kitaaluma
Uzoefu wa angalau miaka mitatu katika kazi ya kushona cherehani.
Uwezo wa kushona na kukata vitambaa kwa usahihi na uangalifu, kulingana na mahitaji ya kazi.
2. Sifa za Kimsingi
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Umri kati ya miaka 20 hadi...
List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha
Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako
Piga/WhatsApp: +255-657-685-268
Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu.
Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba.
Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na...
Niaje wakuu,
Just imagine unamloga fundi
Mwenzio kisa kafanya kazi ambayo uliitiwa ukataja bei kubwa yeye kataja bei ndogo kapiga kazi kwa wivu na roho mbaya yako unamfanyia umafia.
At the end of the time unamloga unamuharibia maisha yake kwa ujumla unaathiri mfumo mzima wa maisha ya wanao...
Habarini
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake
Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
Tuanze na faida kwanza
1. Bei rahisi, uzuri bei zao mchekea sana na kama ukiwa mbishimbishi au mtu wa kukomaa kubargain sana unapata punguzo kubwa kabisa la bei bila kujali ugumu au ukubwa wa kazi yenyewe.
2. wanatumia vizuri rasilimali zilizopo, ukitaka fundi maiko akujengee ukuta...
SOGGY DOGGY & SHAA - MAFUNDI.
" Usilolijua ni sawa na Usiku wa Ngiza/ kama Basi unabisha yapaswa kusikiliza/ Maneno haya kutoka kwa tyr ngaiza yanahusu hao mafundi wenye Michezo ya kuingiza/ ..
"Wimbo huu kwa mafundi longolongo / nitakachosema ni ukweli wala sio Uongo/ mtaani kwetu kuna fundi...
Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound..
Ila hao mafundi watata watata ndo unakuta wakifanya kazi matokeo mazuri.kazi zao zinawafanya watafutwe na watu kikubwa ni...
Kazi masaa 8 kwa siku, malipo 25,000/- kwa siku
ZINGATIA
*Uwe smart katika kazi
*Unaezingatia vipimo katika kukata na kuunda sababu vifaa tuvyounda hata mm 1 ikikosewa inaweza kipelekea hasara kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.