mafundi

  1. S

    Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  2. Jumlisha

    Mafundi acheni janja-janja

    Habarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri. Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa...
  3. U

    Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  4. Ricky Blair

    Mafundi wa PC Bongo

    Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated; Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na...
  5. chandeka marwa

    Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  6. kekule benzene

    Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Mafundi simu
  7. Sky Eclat

    Mafundi kuweni wakweli katika ufanisi wenu, msihadae wateja

    Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
  8. The bump

    Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

    Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa. Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi. Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board. Naomba...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    TANESCO Uyui, mnahujumiwa hapo kata ya Loya na mafundi uchwara!

    Chama na serikali vikajitahidi sana kufikisha umeme vijijini Ili wananchi wapate huduma hii, na wananchi wakafanya mchakato wa gharama kubwa Ili wapate umeme na kweli wakaupata. Baada ya kulipia LUKU na kuanzia kupata huduma hii mchezo wa kipumpavu ukaanza hasa na fundi mkuu wa TANESCO...
  10. comte

    Mgao wa umeme: Tumeambiwa mitambo, je mafundi tunao?

    Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu. Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme? Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
  11. B

    Hivi kwanini Mafundi Seremala wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha Mambo?

    Hii kada ya utaalam ambayo ni muhimu sana kwenye ujenzi wa taifa naona bado wengi wao hawajielewi. Yaani kazi ya kufanya siku moja tu naukamaliza yeye anaifanya wiki nzima. Kwao muda sio mali tena. Kuamka kazini tu anaingia saa tatu. Je kwa mtindo huu tutamsaidia Rais Dr Samia kuinua uchumi...
  12. profesawaaganojipya

    Mafundi umeme wa magari msaada

    Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima. 2. Relay ya...
  13. JanguKamaJangu

    Simiyu: Ashikiliwa baada ya mafundi kukuta mabaki ya mwili kwenye eneo la nyumba aliyoiuza

    Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja anayetambulika kwa jina la Juma Peter kufuatia eneo yalipokuwa makazi yake kukutwa mabaki ya mifupa yaliyodhaniwa kuwa ya binadamu. Tukio hilo linalodaiwa kutokea Mkoani Simiyu, ambapo Jeshi la Polisi katika taarifa yake ya awali linadai...
  14. MK254

    Mafundi ujenzi kutoka Asia wanyang'anywa passport na kulazimshwa kuingia jeshini Urusi

    Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine. PHOTO: SPUTNIK Since the end of June, Russia has...
  15. M

    Mafundi wa Kupiga Rangi

    Wadau naomba msaada wa Connection ya Mafundi wa Rangi wazuri Moshi na Arusha...
  16. PakiJinja

    FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  17. R

    Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
  18. R-K-O

    Kupigwa na mafundi kunaepukika vipi ama kupunguzika vipi?

    Fundi ukimpata kanjanja utajenga hata nyumba iliyopaswa kugharimu milioni 50 iwe milioni 80, ndio maana huwa sishangai mtu anaposema kajenga nyumba kwa milioni 100 wakati nyumba hio hio mwengine kajenga kwa milioni 70 maeneo hayo hayo.. Maana wengi wanapoanza kujenga huwa ni wageni wa haya...
  19. binkiko2

    MAFUNDI TV

    Tv yangu ya SONY BRAVIA imepata tatizo ghafla nikiiwasha inajizima,nahitaji fundi nipo,napatikana UBUNGO
  20. Black Opal

    Kama tungekuwa tunakemea mafisadi na viongozi wabovu kama tunavyowashughulikia mafundi wanaovurunda kazi tunazowapa, Tanzania ingekuwa wapi leo?

    Wabari wakuu, Nimekuja kwenu na swali la kusindikiza 77. Ikitokea umempa kazi fundi, inaweza kuwa kukujengea kibaraza nyumbani, kukushonea nguo, kutengeneza kabati, kurekebisha gari lako nk halafu fundi akazingua, tuseme kazi ilikuwa ya wiki mbili, siku ya kukabidhi fundi hajafanya chochote...
Back
Top Bottom