Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa ikijirudia tangu wakati kuna Mgawo wa Umeme, ufafanuzi umetolewa na imeelezwa changamoto hiyo imetatuliwa...
Wasalam...
Ikiwa ni ijumaa safi kabisa yenye baraka na fanaka tele...
Bila kuwachelewesha leo naomba niwakutanishe na mafundi wote ambao wapo hapa jf kutatua shida mbali mbali ukiachana na mimi Fundi manyumba au fundi bishoo
Ila kuna wenzetu wengi ambao wamekua wakitoa michango mbali mbali...
Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme hadi fundi wa maji.
Kuna mambo mawili ambayo yanakera sana ambayo wanafanya mafundi wa Kitanzania...
Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK...
Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi.
Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA.
Call/Whatsapp 0746373222.
Instagram...
Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko..
Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika..
Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi..
Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote
Ila jana kwenye sehemu fulani ya ujenzi naona mafundi wanaiba nondo na mifuko ya cements pamoja na waya za umeme
Kwanini...
Wanabodi Salaam,
Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
Tungetoa ushauri ni vipi tutambuliwe rasmi na tuingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi.
Tungeweza toa ushauri wa vipi tumiliki mashine za VAT
Tungejitolea kujenga madarasa (hata vyoo kama madarasa hatuaminiwi) kwa gharama ndogo kabisa.
Tungeshiriki ipasavyo kurekebisha dosari ndogondogo za...
Habari ndugu wana jamii forum,
Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua...
Nimeongea na fundi uchomeleaji ambapo tumekubaliana material yoote nitanunua na umeme juu yangu kwani kazi itafanyikia nyumbani kwangu. Anitengenezee mlango wa Gate la frame ya biashara lenye mlango wa kujikuja la upana wa mita 2.5 (foot 7.5). Sasa kanikomalia bei ya ufundi laki 2 (200,000)...
Habari wakuu.
Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga.
Nitakuja...
Nimefuatilia TV yao kwenye matukio makubwa mengi ambayo Mtumishi huyo anayafanya , kiukweli kiwango chao ni duni kuliko TV yoyote ya Kidini iliyopo hewani .
Kwa mfano hii VUKA NA CHAKO ya leo dk 10 hewani saa nzima kimya , hii si mara ya kwanza kwa TV yao kuwa na mambo haya , kuna haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.