Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari hii, niliona kwa macho yangu jinsi wenzetu wanavyoendesha mambo, na nilijifunza masomo muhimu...