Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa yaliyoharibu sehemu kubwa ya ardhi ya Ufilipino mwishoni mwa juma la Krismasi imepanda hadi 51, huku wengine 19 wakitoweka, shirika la kitaifa la kukabiliana na majanga limeeleza leo, huku wakaazi walioathirika wakihangaika kurejea kwenye makazi yao...
Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea.
Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,
Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea
====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani.
Wahenga walisema "mwenzako...
Mamlaka zimesema idadi hiyo imefikiwa kutokana na mafuriko makubwa kutokea kwa wiki kadhaa hivi karibuni, watu 1,500 wakijeruhiwa na wengine milioni 1.4 wakihama makazi yao.
Tangu Julai 2022 taifa hilo limeandamwa na mafuriko sehemu mbalimbali ikiwemo Jiji la Abuja kutokana na mvua nyingi...
Idadi ya Watu waliofariki kutokana na mafuriko Nchini Pakistan sasa ni zidi ya 1,200 huku mvua zikiendelea kunyesha na kuathiri wengine Milioni 33.
Waziri Mkuu wa Pakistan, Shahbaz Sharif ametembelea maeneo yaliyoathirika kuona uokoaji na misaada inavyoendelea kutolewa, wakati ambapo hali ya...
Mvua zinazoendelea Nchini Sudan zimesababisha mafuriko huku idadi ya vifo vya Watu ikifika 100
Hali ya dharura imetangazwa katika majimbo 6 yaliyoathiriwa vibaya ambapo Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema zaidi ya Watu 280,000 wameathiriwa na mafuriko katika majimbo 15 kati ya 18.
Wananchi wengi...
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mipango, #AhsanIqbal inasema makadirio ya awali yanaonesha mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo, yamesababisha uharibifu wa karibu Tsh. Trilioni 23.
Tayari Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa msaada wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukabiliana na...
Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya takriban watu 1,033, wakiwemo watoto 348, na wengine 1,527 kujeruhiwa huku jumla ya watu milioni 33 wakiathiriwa na janga hilo tangu katikati ya mwezi Juni
Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Majanga nchini humo (NDMA) imeongeza kuwa watu 119...
Kila mmoja atafakari,ni nini kitatokea endapo kila kaya/familia/nyumba itapanda miti miwili tu kuizunguka nyumba hiyo,nini kitatokea baada ya miaka michache tu ya kupanda miti hiyo.
Kila taasisi, iwe ya ki raia au kiserikali,ikaamua kupanda miti miwilimiwili tu kwenye kila uwazi au pembezoni...
Mafuriko yameua zaidi ya watu 50 katika Jimbo la Logar Nchini Afghanistan na sehemu ya Nchi ya jirani ya Pakistan huku baadhi ya watu wengine wakiwa hawajulikani walipo.
Hasara nyingine ni nyumba zaidi ya elfu moja kuharibiwa, mazao yaliyokuwa shambani yameharibika, Wanyama wamepotea na wengine...
Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China.
Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo yalifanya mto ujae maji.
Mafuriko hayo yameathiri eneo lenye idadi zaidi yaa Watu 6,000 na zaidi ya...
Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...
Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa na wanyama adimu duniani.
Filamu ya Royal Tour inaonesha vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania...
Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali.
Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo baada ya tukio kuathiri Watu 400 katika Vijiji 18 na kusababisha miundombinu mingi kuharibika.
Wiki...
Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi
Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa waathirika ambao vijiji vyao vimefurika baada ya mito kupasuka kingo, huku wanajeshi wakiendeleza...
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban
Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao.
Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
Kiongozi wa Jimbo la KwaZulu-Natal, Sihle Zikalala amesema idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa zilizopeleka maporomoko ya ardhi na mafuriko imeongezeka kufikia 443
Mbali na vifo, watu wengine 63 bado hawajulikani walipo. Mafuriko hayo yaliyotokana na mvua kubwa kunyesha kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.