mafuriko

  1. Wizara ya Afya yatangaza nafasi za kazi 1,650

    Kila la heri mtakaopata. == JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA Telegrams “AFYA”, DODOMA Mji wa Serikali - Mtumba, Nambari ya simu: +255-026-2323267/2351196 Barabara ya Afya, Nukushi Na: +255-22-213806 S. L. P 743, 40478 DODOMA. TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YATOA KIBALI CHA...
  2. Rais Samia atuma rambirambi Afrika Kusini kwa mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 300

    Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
  3. Afrika Kusini: Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko yafikia 306

    Mamlaka za Mji wa Durban zinasema takriban watu 306 wamepoteza maisha katika mafuriko, huku zikionya kuwa watu wengi zaidi bado wanahofiwa kupotea Mvua zilizonyesha kwa siku kadhaa zimesababisha maporomoko ya udongo na kusomba makazi ya watu. Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka wakati...
  4. Brazil: Watu 176 wafariki kutokana na mafuriko

    Idadi ya waliofariki kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Petropolis, Rio De Janeiro nchini Brazil imefikia 176 ikiwa ni idadi kubwa kurekodiwa katika historia ya mji huo. Mvua kubwa nyingine kurekodiwa ilikuwa 1988 iliua watu 171. Mvua hiyo iliyonyesha Februari 15 iliwafunika watu wengi kwenye...
  5. Mafuriko: Makanya, Same, Kilimanjaro

    Makanya, Same, Kilimanjaro, barabara haipitiki kwa sababu mvua imesababisha maji kupita juu ya daraja, na kusababisha msururu mrefu wa magari yanayotoka na kuingia Mkoa wa Kilimanjaro. Mamlaka husika, hususani Mkoa wa Kilimanjaro, zichukue hatua za dharura kunusuru abiria na magari, na pia...
  6. J

    Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

    Mtaa maarufu wa Ufipa uliopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam umekumbwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha leo. Wakazi wa mtaa huo wameiomba serikali kuwaondolea kero hiyo inayosababishwa na ujenzi wa barabara. Ufipa st ndipo yalipo makao makuu ya chama kikuu cha upinzani (Chadema)...
  7. Wakazi wa Swaswa Dodoma na Mafuriko

    Wakazi wa Swaswa jijini Dodoma waanza kujiandaa na mafuriko, ni kitu kimenishangaza sana mara baada ya kuspend muda kwa wiki yote iliyopita katika jiji hili. Kuna mwenyeji wangu amekuwa akinishauri nije kujenga Dom nikasema ngoja niende, zunguruka na madalali kutafuta viwanja ndio nikaonyeshwa...
  8. UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  9. Sudan: Watu zaidi ya 80 wafariki dunia kutokana na mafuriko

    Watu 84 wamefariki dunia na wengine 67 kujeruhiwa tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwezi Julai. Mvua hizo zimeathiri Majimbo 14 kati ya 18 huku nyumba 30,000 zikiharibiwa. Umoja wa Mataifa (UN) unakadiria takriban watu 102,000 wameathiriwa na mvua kubwa Nchini humo. Mwaka 2020, Sudan ilitangaza...
  10. E

    Tunahitaji suluhisho la mafuriko mto msimbazi na siyo kujikita kwenye usafiri Jangwani tu

    kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika. inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
  11. Mbinu na jitihada muhimu za kuchukua pale unapopatwa na mafuriko

    Hivi karibuni tumeshuhudia nchi mbalimbali ziiathirika na majanga ya mafuriko na mioto ya msituni. Je ushajiuliza kama janga kama hilo likitokea eno lako hatua za kuchukua na hatua gani ya kuanza nayo? Nchi ambazo zina miundombinu bora lakini bado zimeathiriwa na mafuriko kama Ujerumani...
  12. China: Waliofariki dunia kutokana na mafuriko waongezeka na kufikia 302

    Idadi ya waliofariki dunia kutokana na mafuriko mabaya ya mwezi Julai imeongezeka kufikia 302 na wengine bado hawajulikani walipo. Eneo la Zhengzhou katika Jimbo la Henan liliathiriwa zaidi ambapo watu 292 walipoteza maisha kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu. Kutokana na...
  13. NEMC wasikamate tu mifuko ya plastiki; waangalie miundombinu ya mifereji Dar, wasingoje mafuriko ndio wamtafute mchawi

    Habari wada! Naomba nichukue nafasi hii kuwakumbusha hawa ndugu zetu wa NEMC hususa kipindi hiki cha kiangazi, kuangalia na kukagua miundombinu ya mifereji yetu ya jiji la Dar es Salaam. Naona NEMC wamekuwa kama wanazima moto vile kwenye baadhi ya mambo ambayo ni wajibu wao hususa miundombinu...
  14. Kauli ya Waziri wa Utumishi inatia shaka. Madaraja naona yamebebwa na mafuriko

    Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate. Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia...
  15. Mafuriko Dar wa Salaam City Centre 29.04.2021

    Hali ilivyokuwa Leo jioni baada ya mvua kunyesha kwa masaa kadhaa. Asante Mungu kimbunga Jobo hakikupiga DAR ES SALAAM, pangechimbika
  16. Chande: Kipande cha Jangwani kinafanyiwa usafi mara kwa mara kupunguza athari za mafuriko

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa mara na Wakala wa Barabara TANROADS Amesema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto...
  17. J

    Mbunge wa Hai, Mafuwe ameiomba serikali kuu kusaidia waathirika wa mafuriko kwani vyoo vinatapika ovyo!

    Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko. Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati...
  18. Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  19. 'Vetiver' nyasi zenye uwezo wa kuzuia mmomonyoko wa udongo

    VETIVER GRASS Vetiver Grass ni aina ya nyasi ndefu zenye majani marefu, membamba na magumu. Vetiver Grass kwa jina la kisayansi zinajulikana kama "Chrysopogon zizanioides" na asili yake ni India. Vetiver Grass zinauwezo wa kukua mpaka sentimita 150 ambazo ni sawa na futi tano na mizizi yake...
  20. Mafuriko yaliyokumba Indonesia na Timor Leste yawaua watu 50

    Flores Mashariki mwa Indonesia ni miiongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi na mafuriko hayo Watu wapatao 50 wamefariki kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo kukumba Indonesia na Timor Leste siku ya Jumapili. Mvua kubwa iliyonyesha katika nchi hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa huku maji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…