RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki.
Lakini magazeti ya Kenya yakiwamo Mwananchi hayasemi hivyo ila main media stream ya dunia nzima...
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!.
Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024.
Mnada huo utafanyika katika Jengo la TSN lililopo Mtaa wa Isimani Upanga, Dar es Salaam utahusisha pia pikipiki, vifaa vya TEHAMA...
Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi!
Siku hizi, kila kitu...
Kutana na taswira ya chama hiki kama ilivyoakisiwa leo kimataifa:
Kwamba:
Habari kamili iko hapa:
Who is Freeman Mbowe? Why Tanzania’s ruling party is targeting the opposition leader
Na hii ndiyo hali halisi.
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.
Hii leo Magazeti yamepambwa...
Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake binafsi!
Hii ni kero kwa wasikilizaji.
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au...
Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti.
Maelekezo mengine yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.