Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii
Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
Tafadhali Wahariri wa Magazeti ya HabariLeo na UHURU ( ambao najua mpo hapa JamiiForums ) hebu tuwekeeni hapa Sauti ya Rais Samia ya jana ( Mei Mosi ) akisema kuwa amepandisha rasmi Mishahara kama ambavyo mmeripoti ( mmeandika ) leo katika Vichwa vyenu vya Habari.
Kwa Upuuzi na Ujuha ( Uzuzu )...
"Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
KURASA DARASA TBC1: UCHAMBUZI WA MAGAZETI, MAJARIDA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Leo nilikuwa na matembezi ndani ya mitaa na vichochoro vya Maktaba nikimzungusha Mtangazaji wa kipindi cha ''Kurasa Darasa,'' Bi. Maureen Minanago.
Bi. Maureen alitaka kujua sababu za mimi kuhifadhi baadhi ya...
hakuna shaka na itabaki kuwa hivyo. baada ya Mwalimu Nyerere alietusaidia kuupata uhuru wa Tanganyika, Dr. John Joseph Pombe Magufuli anabaki kuwa Rais bora wa wakati wote.
kizuri hakikosi kasoro. agenda yake ya kutaka kufuta upinzani haikuwa nzuri na hilo nilimpinga waziwazi kwa kumnyima kura...
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
7
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA"
Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga.
Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa...
10 Februari 2022
TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi nchini kwa miaka kadhaa sasa.
Magazeti hayo binafsi ambayo leo yamepewa leseni na serikali kuanza...
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape.
"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
Uhuru wa kupata Habari ni chakula muhimu ambacho kila mtu huiitaji kushiba, awamu iliyopita usomaji wa magazeti redioni katika kurasa za ndani ulifungiwa bila maelezo ya msingi.
Kufungiwa habari za ndani za magazeti kupitia redio wengi wa walioathirika ni wananchi wa vijijini ambao ni ngumu...
Chama is Back, Triple C is Back.
Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.
Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
Habari wakuu nina tani 9 za magazeti kutoka korea nauza kwa kg1 ni 1800 location ni Mnazi Mmoja Dar es salaam namba ya simu 0769115998 kwa maelezo zaidi
Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH.
Hata kama una kilo 1000 niambie nitanunua zote, hata ukiwa na tan 10 za gazeti ninanunua kwa kilo shilingi elfu moja...
Nipo sehemu nimekaa kuna idadi kubwa kidogo ya watu, nilichokigundua ni kwamba asilimia 98 wanaosoma magazeti wanapitia habari za michezo na burudani.
Hili linanipa maswali kidogo kwa nini ipo hivi?
Je, hii inawezekana watu wamepoteza focus katika mambo mengine, au magazeti hayana tashwishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.