Amini usiamini hiki ni kile kipindi ambacho makanjanja ya redio/tv na magazeti huwa yanawawapa raha za kufa mtu wana jangwani, raha huongezeka pia pale MITAMBO YA MAGOLI inaposhuka airport na kupokelewa kwa mbwembwe na misafara ya magari hadi mitaa ya twiga na jangwani
Kuna hali ya furaha sana...
Haya ni magazeti kutoka kampuni moja yaliyotoka leo June 16th. Lakini vipaumbele vya habari vimetofautiana sana. Habari kuu kwenye kiswahili[Mwananchi], ni Kesi ya Sabaya [Siasa] huku kwenye la kiingereza [The citizen] ni habari ya Usafirishaji (Biashara & Uchumi), huku habari ya Sabaya ikiwa...
Wakuu habari za Leo.
Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara.
Namba yangu 0718378427
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee.
Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema...
Kati Jambo lisilotakiwa na ccm nikuruhusu watu wapate taarifa sahihi. Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ni mwiba kwa CCM na kufunguliwa kwayo ni kuruhusu magazeti ya Tanzanite na Uhuru yakose soko.
Bado tuna safari ndefu ya Uhuru wa habari Tanzanjia na alichokiktataa Rais Jana kwamba...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo yanayoliondoa Taifa kwenye kutumia mabavu na kujielekeza kwenye kutumia akili katika ukusanyaji kodi bila kuathiri walipakodi.
Mbali na hivyo, Nape alisema pia Rais Samia ameonyesha nia ya kuliongoza...
Muongozo uliotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu kanuni za maadili kwa wanataaluma wa habari zinaeleza kanuni za maadili kwa Mpiga picha za magazeti kama ifuatavyo:-
Wapiga picha wa magazeti wanatakiwa kutoa picha zinazoonesha usahihi wa hali ya tukio husika.
Wawe makini wakati...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali.
Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee.
Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima...
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk.
Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye...
Miaka kadhaa iliyopita kabla ya kuja kwenye digitali watu walilazimika kununua magazeti kwa sababu nyingi tofauti tofauti, jambo kubwa halikuwa kupata habari kujua yanayoendelea pekee
Sababu za kununua magazeti
Kwanza ilikuwa kuhabarisha lakini pia kujua matangazo ya serikali kama zabuni au...
Magufuli akiwa na kampeni wanachapisha picha kubwa ya kampeni zake kwa juu kisha chini wanaweka vipicha vidogo vya wapinzani. Magufuli akipumzika kampeni hawaweki picha ya mgombea anayetoa upinzani mkubwa kwake wala habari zake hazipewi kabisa kipaumbele.
Nyie wahariri, jana na leo Tundu Lissu...
Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti.
Kijana huyo ambaye alikuwa anaongea mbele ya makamu wa Rais...
Nimepita juzi kwenye Meza ya magazeti nikastaajabu kidogo.
Habari kuu za magazeti yote ni za Mgombea wa CCM.
Rangi ya kijani imetapakaa Meza nzima yani kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni Meza ya muuza mbogamboga.
Nikajiuliza mbona twitter na JF Mpambano ni kama umebalance hivi japo...
Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.