Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye misiba ya watu mashuhuri!
Ingekuwa zamani msiba wa mkapa usingeisha salama bila habari za magazeti...
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au?
===
Maoni ya Wachangiaji
Magazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita kumekuwapo tabia ya Serikali kufungia magazeti mbalimbali, ingawa katika kipindi kuanzia mwaka 2016 hadi 2020 kasi ya kufungia magazeti ilipanda sana.
Serikali inatumia sheria yake ya vyombo vya habari kufungia magazeti mbalimbali yanayovunja sheria...
Wana JF,
Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni.
Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia...
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Serikali imekuwa ikichukua hatua bila kupendelea chombo chochote cha habari kinachobainika kukiuka sheria na taratibu ikiwamo kutoa habari za uongo.
Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza wakati akijibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.