magazeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kuhusu His majesty Agha Khan: Magazeti ya Kenya na TV huwa hazisemi ukweli

    RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki. Lakini magazeti ya Kenya yakiwamo Mwananchi hayasemi hivyo ila main media stream ya dunia nzima...
  2. Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 28, 2025

  3. Habari kubwa za magazeti leo Januari 11, 2024

  4. Habari kubwa za magazeti leo Januari 10, 2025

  5. Habari kubwa za magazeti leo Januari 09, 2025

  6. Habari kubwa za magazeti ya leo Januari 07, 2025

  7. Soma kurasa za mbele za magazeti ya leo Januari 6,2025

    Cc: SwahiliTimes ๐—ก๐—ฏ : ๐—ช๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐— ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ถ?
  8. T

    Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

    Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!. Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
  9. Kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) yatangaza mnada , kazi kwenu kuna Range Rover wagon

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imetangaza kuwa itapiga mnada magari mbalimbali ambayo hayatumiki ikiwemo Range Rover Wagon siku ya Ijumaa Desemba 13, 2024. Mnada huo utafanyika katika Jengo la TSN lililopo Mtaa wa Isimani Upanga, Dar es Salaam utahusisha pia pikipiki, vifaa vya TEHAMA...
  10. Kutoka Kwenye Magazeti Hadi Blogu: Kwanini Kujua Kuandika Mtandaoni Ni Ujuzi wa Thamani Zaidi Leo

    Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi! Siku hizi, kila kitu...
  11. B

    Sura ya Chadema katika Magazeti ya Mataifa

    Kutana na taswira ya chama hiki kama ilivyoakisiwa leo kimataifa: Kwamba: Habari kamili iko hapa: Who is Freeman Mbowe? Why Tanzaniaโ€™s ruling party is targeting the opposition leader Na hii ndiyo hali halisi.
  12. L

    Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu. Hii leo Magazeti yamepambwa...
  13. Wapo ondoeni kipindi cha magazeti kiwe cha cha Coasta na porojo

    Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake binafsi! Hii ni kero kwa wasikilizaji.
  14. Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

    Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au...
  15. P

    Waziri Nape aruhusu magazeti kuendelea kusomwa kwa mbwembwe. Mpaka matamko yanakinzana huwa hakuna mawasiliano ndani ya wizara?

    Nimeona mjadala wa โ€œKusoma magazetiโ€. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti. Maelekezo mengine yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ