Safisha kwa kupaka Sanitaiza maeneo ambayo hushikwa mara kwa mara ili kujiepusha na magonjwa ya kuambukiza kama Korona.
Maeneo hayo ni pamoja na meza, vitasa vya mlango, swichi ya umeme, madawati, simu, kicharazio cha kompyuta (keyboard), vyoo, koki ya bomba, na sinki